1992 : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 8:
*[[8 Aprili]] - [[Daniel Bovet]] (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Tiba]] mwaka wa [[1957]])
*[[10 Aprili]] - [[Peter Mitchell]], mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Kemia]] mwaka wa [[1978]]
*[[6 Mei]] - [[Marlene Dietrich]], mwigizaji filamu na mwimbaji kutoka [[Ujerumani]]
*[[18 Agosti]] - [[John Sturges]], mwongozaji filamu wa [[Marekani]]
*[[2 Septemba]] - [[Barbara McClintock]] (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Tiba]], mwaka wa [[1983]])