Snorri Sturluson : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:SnorriByVigland.jpg|thumb|200px|right|Sanamu ya Snorri Sturluson mjini Reykholt wa Iceland]]
 
'''Snorri Sturluson''' ([[Kiiceland]] ''Snorri mwana wa SturlusonSturlu'', * [[1178]]; † [[22 Septemba]] [[1241]]) alikuwa mshairi, mwandishi wa historia na kiongozi wa kisiasa nchini [[Iceland]].
 
Anajulikana hasa kama mtungaji wa kitabu cha [[Edda]] kinachokusanya habari za utamaduni na dini ya Iceland ya kale kabla ya kufika kwa [[Ukristo]] pamoja na kanuni kwa kazi ya mshairi na mwimbaji wa shairi zinazosimulia historia ya taifa. Aliandika üpiapia historia ya wafalme wa [[NorwayNorwei]].
 
Mwenyewe alipokea mafunzo ya kuandika na kusoma, pia lugha ya [[Kilatini]], elimu ya dini ya Kikristo na sheria ya Kiiceland. Wazazi walimkabidhi kwa chifu mkubwa aliyemlea kijana.
Mstari 9:
Alichaguliwa baadaye mara mbili kama msimamizi wa [[Althing]] iliyokuwa bunge la Iceland.
 
{{mbegu-mtu}}
 
{{DEFAULTSORT:Snorri Sturluson}}
 
[[CategoryJamii:WatuWashairi wa Iceland]]
[[Jamii:Wanasiasa wa Iceland]]
[[Category:Waliozaliwa 1178]]
[[CategoryJamii:WaliofarikiWaliozaliwa 12411178]]
[[Jamii:Waliofariki 1241]]
 
[[ar:سنوري سترلسون]]