Jamii : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Created page with ''''Jamii''' ni istilahi inayoelezea uwepo wa pamoja wa mwanadamu (kwa pamoja, inataja jumla ya mitandao ya kijamii na nguvu ya mitandao yake). Haitaji kila kitu a,mbacho mtu anac...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 05:51, 3 Oktoba 2009

Jamii ni istilahi inayoelezea uwepo wa pamoja wa mwanadamu (kwa pamoja, inataja jumla ya mitandao ya kijamii na nguvu ya mitandao yake). Haitaji kila kitu a,mbacho mtu anachofikiria kuwa nacho au hana, bali yale ya mambo ambayo kila mtu anayetenda kwa dhumuni maalumu.