Fikira : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Created page with ''''Fikira''' au '''Fikra''' ni ujumbe uliotumwa kutoka akilini kwa ajili ya viumbe hai ili kujua kutenda jambo bila kukosea. Fikra husaidia na maamuzi na wakati wanyama mara nyin...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 06:21, 3 Oktoba 2009

Fikira au Fikra ni ujumbe uliotumwa kutoka akilini kwa ajili ya viumbe hai ili kujua kutenda jambo bila kukosea. Fikra husaidia na maamuzi na wakati wanyama mara nyingi huishi bila ya kufikiri, yaani, kujua ni kesho atafanya, lakini wanadamu hutumia fikra na kufikiria na kuvumbua vitu ambavyo vinahitajika. Bila fikra za mawazo, dunia isingeendelea sana.

Marejeo

  • Eric Baum (2004). What is Thought, Chapter Two: The Mind is a Computer Program. MIT Press. ISBN 0-262-02548-5

Viungo vya Nje