Mmomonyoko : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: hi:भूक्षरण
d roboti Nyongeza: vi:Xói mòn; cosmetic changes
Mstari 1:
[[imagePicha:Grand_Canyon_cloud.jpg|right|thumb|200px|Bonde la [[mto wa Colorado]]/[[Marekani]] (Grand Canyon) ni tokeo la mmomonyoko wa maji]]
'''Mmomonyoko''' ni hali ya kuvunjika au kumegekamegeka kwa [[udongo]], [[ardhi]] au [[Mwamba (jiolojia)|mwamba]] kutokana na athira ya [[upepo]], [[maji]], [[barafu]], [[joto]] au mwendo wa ardhi. Kazi za kibinadamu zimekuwa pia sababu muhimu ya mmonyoko.
 
== Mmomonyoko wa kiasili ==
Mmomonyoko ni kati ya nguvu muhimu zinazofinyanga uso wa [[dunia]]. Uso wa mabonde na milima ya dunia ni matokeo ya mmomonyoko.
 
 
== Aina za mmomonyoko ==
 
=== Mmomonyoko wa maji ===
[[ImagePicha:Erosion.jpg|thumb|200px|Mmomonyoko kwenye shamba la ngano, Marekani; ni mfano wa kazi ya maji lakini inaonyesha pia athari ya kibinadamu - miti yote imekatwa ili kupata mashamba makubwa]]
Maji ni kati ya nguvu kuu za mmomonyoko. Mwendo wa maji unasukuma sehemu ndogo za ardhi na kuzipeleka mbali kabisa. Hata vipande vya mwamba vinaweza kukatwa hasa kwa mawe madogo yanayorushwa na maji dhidi ya miamba mikubwa.
 
Mstari 20:
Udongo wote pamoja na mawe madogo unaobebwa na maji hutuamishwa mahali fulani kama [[mashapo]]. Kwa njia hiyo maji yanaweza kutenganisha aina mbalimbali za mashapo. Kwa kawaida sehemu nzito hutelemka kwanza na kukaa kama mwendo wa maji unaanza kupungua wakati mto umetoka kwenye mtelemko na kuingia eneo la tambarare. Kwa njia hii aina za mashapo kama vile [[changarawe]], [[mchanga]], matamahuluku na udongo kabisa zinapatikana.
 
=== Mmomonyoko wa pwani ===
[[ImagePicha:EtretatGreatArch.jpg|thumb|100px|Mmomonyoko kwenye pwani la [[Ufaransa]]]]
Mmomonyoko kwenye mwambao wa [[bahari]] au [[ziwa]] ni aina ya pekee ya mmomonyoko wa maji. Unatokea hasa kutokana na nguvu ya [[mawimbi]] na [[mikondo]]. Mikondo ya baharini hubeba muda wote mashapo kwa kuyachukua hapa na kuyatuamisha pale. Kama kiasi kilichochukuliwa kinazidi kiasi kilichotuamishwa mmomonyoko unatokea. Pale panapotuamishwa zaidi kuliko kuchukuliwa [[fungu]] linatokea.
 
Watu wakijenga karibu mno na bahari -kwa mfano mahoteli ya kitalii- wataona mara nyingi ya kwamba nyumba zinachukuliwa na bahari baada ya miaka kadhaa kwa sababu ya mmomonyoko wa pwani wa kawaida.
 
=== Mmomonyoko wa upepo ===
[[ImagePicha:Pinnacles pano 2005-08-26.jpg|thumb|Nguzo zilizokatwa na upepo na mchanga katika [[jangwa]] la [[Australia]] ]]
Upepo unaweza kupuliza chembe ndogo za udongo kama udongo huu ni laini na kavu. Aina hii ya mmomonyoko hutokea hasa pasipo na mimea inayofunika udongo wa juu. [[jangwa|Jangwani]] kiasi kikubwa cha udongo au mchanga huhamishwa na [[dhoruba]].
 
Mstari 33:
 
=== Mmomonyoko wa barafu ===
[[ImagePicha:YosemiteValley12.jpg|thumb|Bonde la [[Yosemite]] ([[Marekani]]) limekatwa na barafuto miaka milioni 2 iliyopita.]]
[[Barafu]] ikipatikana kama [[barafuto]] (ganda nene la barafu inayoanza kutiririka polepole na kujisukuma mbele)ina uwezo wa kuvunja mawe na miamba mikubwa kabisa na kuzisukuma mbali. Barafuto isipoishia baharini inatoa mito inayoendeleza kazi ya mmomonyoko wa maji.
 
Njia nyingine ya barafu kufinyanga uso wa dunia hutokea pale ambako maji yanaingia kwa mashimo au safu ndogo katika mwamba. Hali ya hewa ikishuka chini ya 0° C majai haya yanaganda na kupanuka hivyo kuvunja mwamba.
 
== Mmomonyoko uliosababishwa na wanadamu ==
[[ImagePicha:Mmomonyoko_Kondoa.JPG|thumb|200px|Mmomonyoko kwenye [[Wilaya ya Kondoa]]]]
Mabadiliko kutokana na kazi za kibinadamu yalisababisha mara nyingi mmomonyoko wa ghafla unaoshtusha na kuleta hasara. Mfano ni kukata miti hasa kwenye mitelemko ya milima au kulima milimani. Kazi hizi zinapunguza au kuondoa kabisa funiko la mimea na kuacha udongo bila hifadhi. Maji ya mvua na upepo hazina vizuizi tena.
 
Mstari 48:
 
 
[[CategoryJamii:Jiolojia]]
 
[[ar:تعرية]]
Mstari 99:
[[tr:Erozyon]]
[[uk:Ерозія]]
[[vi:Xói mòn]]
[[zh:侵蚀作用]]