Nikolai Basov : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: left|80px '''Nikolai Gennadiyevich Basov''' (amezaliwa 14 Desemba, 1922) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Urusi. Hasa alichunguza mionzi ya aina mb...
 
d kuongeza tarehe ya kufariki
Mstari 1:
[[Image:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
 
'''Nikolai Gennadiyevich Basov''' (amezaliwa [[14 Desemba]], [[1922]] – [[1 Julai]], [[2001]]) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya [[Urusi]]. Hasa alichunguza mionzi ya aina mbalimbali na kuvumbua [[leza]]. Mwaka wa 1964, pamoja na [[Aleksander Prokhorov]] na [[Charles Townes]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel]] ya Fizikia'''.
 
[[Category:Wanasayansi wa Urusi|B]]