Umwagiliaji : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: sr:Наводњавање
d roboti Nyongeza: vi:Thủy lợi; cosmetic changes
Mstari 1:
[[ImagePicha:LevelBasinFloodIrrigation.JPG|thumb|200px|Shamba la ngano lililojazwa maji huko [[Arizona]] (Marekani)]]
[[ImagePicha:Dripirrigation.gif|thumb|200px|Umwagiliaji wa njia ya matone; kwa wakulima wadogo kuna mbinu rahisi za kutumia mipira iliyotobolewa]]
[[ImagePicha:E7943-Bishkek-Erkindik-Blvd-flow-control.jpg|thumb|200px|Milango kama hii inatawala ugawaji wa maji katika mifereji ya umwagiliaji]]
[[ImagePicha:TravellingSprinkler.JPG|thumb|200px|Vinyunyizo vikubwa vinatupa maji mashambani]]
[[ImagePicha:Irrigation in the Heart of the Sahara.jpg|thumb|200px|Umwagiliaji katika [[Sahara]] (Misri) kwa macho ya ndege: kila duara ina kipenyo cha kilomita moja]]
[[ImagePicha:PivotIrrigationOnCotton.jpg|thumb|200px|Umwagiliaji wa [[pamba]] kwa njia ya [[kinyunyizo]] kikubwa kinachozunguka nchani]]
 
'''Umwagiliaji''' ni mtindo wa [[kilimo]] wa kupeleka maji kwa mimea shambani pasipo na mvua ya kutosha.
Mstari 10:
Hutumiwa katika maeneo [[yabisi]] au wakati mvua ni kidogo. Katika nchi baridi unatumiwa pia kwa kusudi la kulinda mazao dhidi ya [[jalidi]].
 
== Chanzo cha maji ==
Umwagiliaji hutumia maji kutoka vyanzo mbalimbali:
* maji hutolewa kutoka [[mto]]ni au [[ziwa]]ni
Mstari 16:
* pampu yavuta maji kutoka [[kisima]]
 
== Mbinu za umwagiliaji ==
Kuna mbinu nyingi za kumwagilia mazao. Tangu kale watu walichimba [[mfereji|mifereji]] wa kupeleka maji mashambani. Mashamba yazungukwa kwa ukuta mdogo wa udongo na eneo la shamba lajazwa maji. Kujazwa kwa shamba kunarudiwa hadi mazao kwa mfano [[ngano]] yamekua. Mazao mengine kama [[mpunga]] hukuzwa mara nyingi ndani ya maji yanayofunika shamba kwa miezi kadhaa. Mtindo huu uneandelea kutumiwa hasa katika nchi nyingi za Asia na sehemu kubwa ya mchele duniani inapatikana kwa njia hii.
 
Mstari 23:
Katika nchi penye uhaba wa maji kuna mbinu mpya wa [[umwagiliaji wa njia ya matone]]; mabomba au mipira yenye mashimo madogo yanapelekwa shambani. Mimea inapandwa karibu na shimo la mpira. Wakati wa usiku pasipo na joto kali maji inatoka tone kwa tone kwenye bomba au mpira hivyo yanafika moja kwa moja kwenye mizizi. Mbinu huu unatumia maji kidogo kulingana na umwagiliaji wa kawaida. Nchi ya [[Israeli]] imetangulia kulima mashamba makubwa kwa njia hii.
 
== Matatizo ==
Umwagiliaji huongeza mavuno kiasi kikubwa. Lakini kuongezeka kwa umwagiliaji duniani kumeleta matatizo mengi.
 
* Matumizi ya maji yanazidi akiba yake; mito imekauka kwa sababu watu wengi mno wamechukua maji mle. Mfano mbaya sana ni [[ziwa Aral]] iligeuzwa kuwa jangwa kwa sababu maji ya mito yake yametumiwa kwa miradi mikubwa ya pamba katika mazingira ya joto kali tena kwa teknolojia isiyofaa kama mifereji iliyo wazi
* Maji mengi yanapotea hasa pale ambako maji hupitishwa kwenye mifereji au na kujaza shamba kumwagiliwa kwa vinyunyizo. Sehemu kubwa inapotea kwa njia ya [[uvukizaji]] kuliko kulisha zao.
* Pampu zimesababisha kushuka kwa uwiano wa maji chini ya ardhi. Hi ni hofu kubwa kwa umwagiliaji katika jangwa [[Sahara]] unaotumia akiba ya maji iliyojengwa na mvua wa milenia nyingi lakini inayopungua haraka tangu kuanzishwa kwa miradi ya umwagiliaji kwa pampu kubwa zinazovuta maji ya chini.
* uharibifu wa mashamba ka kuongeza kiwango cha chumvi ardhini; katika mazingira ya joto uvukizaji wa maji unapeleka chumvi iliyoko ardhini juu; maji yavukiza lakini chumvi inabaki. Kuna mifano mingi ambako mashamba yameshaharibika. Maeneo yalisolisha watu tangu kale yamekuwa jangwa kabisa.
 
Matatizo haya yote yanaonyesha ya kwamba haitoshi kumwagilia mashamba tu na kufurahia mazao mazuri kwa sababu matatizo yataongezeka baada ya miaka kadhaa. Kwa hiyo ni lazima kuangalia vema mbinu za uimwagiliaji inayolingana na mazingira na kutumia maji kidogo kama vile umwagiliaji kwa matone.
 
[[CategoryJamii:Kilimo]]
 
<!-- interwiki -->
Mstari 80:
[[tr:Sulama]]
[[uk:Іригація]]
[[vi:Thủy lợi]]
[[war:Dilig]]
[[zh:灌溉]]