Tofauti kati ya marekesbisho "Algiers"

19 bytes added ,  miaka 10 iliyopita
d
roboti Nyongeza: yo:Algiers; cosmetic changes
d (roboti Nyongeza: roa-rup:Alger)
d (roboti Nyongeza: yo:Algiers; cosmetic changes)
}}
[[Picha:Blason-alger.gif|left|80px]]
[[ImagePicha:Sm Bombardment of Algiers, August 1816-Luny.jpg|thumb|right|260px|Waingereza walivamia meli za maharamia Algiers mwezi wa Agosti 1816]]
[[ImagePicha:Algeri04.jpg|thumb|260px|Majengo ya nyakati za ukoloni]]
[[ImagePicha:Algeri08.jpg|thumb|right|260px|Mtaa wa Algiers mwambaoni]]
[[ImagePicha:Algeri06.jpg|right|thumb|260px|Uwanja wa "Mashahidi wa Uhuru"]]
[[ImagePicha:Algiersnasa.jpg|right|260px|Algiers inavyonekana kutoka angani]]
 
'''Algiers''' ([[Kiarabu]] '''مدينة الجزائر''', ''madīnat al-djazā'ir'' ("mji wa visiwa"), [[Kifaransa]] ''Alger'') ni [[mji mkuu]] pia mji mkubwa kabisa wa nchi [[Algeria]] ikiwa na wakazi milioni 2 (mwaka 2005), pamoja na mitaa ya nje takriban milioni tano. Iko mwambaoni wa [[Mediteranea]].
Algiers ni makao ya serikali na kitovu cha uchumi, biashara, utamaduni na mawasiliano nchini.
 
== Historia ==
Mji ulianzishwa kama koloni ya [[Wafinisia]] katika karne ya 4 [[KK]]. Mahali palifaa kutokana na visiwa vinne vidogo vilivyokuwepo karibu na mwambao (lakini katika karne ya 17 [[BK]] viliunganishwa na bara). Baada ya kuenea kwa [[Dola la Roma]] ikawa mji wa Icosium na kuvamiwa na [[Waarabu]] [[Waislamu]] mwaka 702. Waberber wa kabila la Beni Mezghenna walikaa katika eneo hili. Mwaka 960 kiongozi wa Kiberber [[Buluggin ibn Ziri]] aliyekuwa gavana ya makhalifa wa Fatimiya wa Misri aliteua mahali pa Icosium na kujenga boma hapa. Mji uliitwa sasa "Al-djazair-Mezghenna" yaani "visiwa vya Beni Mezghenna". Hapa ndipo asili ya jina la leo "Al djaza'ir (الجزائر)" yaani "visiwa".
Katika karne zilizofuata mji ulivamiwa na watawala [[Wamurabitun]] na [[Wamuwahidun]] kutoka [[Moroko]]. Baadaye mji ukawa chini ya masultani wa Algeria ya Kaskazini.
Tangu uhuru wa Algeria 1962 Algiers imekuwa mji mkuu wa Algeria. Akina pieds noir walio wengi waliondoka wakihofia uchungu baada ya vita ya ukombozi.
 
== Marejeo ==
{{marejeo}}
 
[[war:Algiers]]
[[wo:Alse]]
[[yo:Algiers]]
[[zh:阿爾及爾]]
[[zh-min-nan:Algiers]]
43,992

edits