Habsburg : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
mbegu-jio-Ulaya
d roboti Nyongeza: mk:Хабсбуршка династија; cosmetic changes
Mstari 1:
[[ImagePicha:Picswiss_AG-24-05.jpg|thumb|250px|Boma la Habsburg katika Uswisi ni nyumba asilia ya nasaba]]
[[ImagePicha:Counts of Habsburg Arms.svg|thumb|150px|Simba mwekundu mwenye taji ni nembo la nasaba ya Habsburg]]
[[ImagePicha:Flag of the Habsburg Monarchy.svg|thumb|250px|Bendera ya Habsburg ilikuwa pia bendera ya Austria penyewe hadi 1918]]
 
'''Nyumba ya Habsburg''' ilikuwa nasaba ya watawala wa [[Austria]] tangu mwaka [[1278]] hadi [[1918]]. Kuanzia [[1438]] hadi 1806 makaisari wa [[Dola Takatifu la Kiroma]] walikuwa Wahabsburg isipokuwa katika kipindi cha [[Kaisari Karolo VII]] (1742–1745).
Mstari 9:
Mtemi Rudolf wa Habsburg alifaulu kuchaguliwa kama mfalme wa Wajerumani na mkuu wa Dola Takatifu. Akiwa mfalme aliweza kupata utemi wa Austria na wafuasi walibaki na nafasi hii ya watawala wa Austria.
 
Mwaka 1438 Mhabsburg mwingine [[Albert II wa Ujerumani|Albert II]] alichaguliwa tena kuwa mfalme wa Wajerumani. Hakutapata cheo cha [[Kaisari]] lakini kuanzia Albrecht wakuu wa Austria walichaguliwa tena kama wafalme wa Wajerumani na wote baada yake walipewa pia taji la Kaisari wa Dola Takatifu la Kiroma. Tangu 151 walikuwa pia na cheo cha wafalme wa [[Hungaria]].
 
Mhabsburg aliyetawala maeneo makubwa kabisa alikuwa Kaisari [[Karolo V]] (kama mfalme wa Hispania: Carlos I) (1500 – 1558) aliyeunganisha falme za Dola Takatifu (Ujerumani, Uswisi, Uholanzi, Ubelgiji, Italia Kaskazini, Austria) pamoja na Hispania na koloni zake katika Amerika ya Kati na Amerika Kusini.
 
Wakati wa vita za [[Napoleoni]] Kaisari Franz II wa Ujerumani alilazimishwa kuacha taji la kaisari la Dola Takatifu lakini alijitanganza kuwa Kaisari Franz I wa Austria akaanzisha cheo cha maikasari wa Austria walioendelea hadi mwisho wa [[Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia]] 1918.
Mstari 20:
{{mbegu-jio-Ulaya}}
 
[[CategoryJamii:Historia ya Austria]]
[[categoryJamii:Dola Takatifu la Kiroma]]
 
{{Link FA|it}}
Mstari 57:
[[lt:Habsburgų dinastija]]
[[lv:Habsburgi]]
[[mk:Хабсбуршка династија]]
[[nl:Habsburg]]
[[nn:Habsburg]]