Edward Ngoyai Lowassa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: fr:Edward Lowassa
No edit summary
Mstari 16:
| akitanguliwa na 2 = [[Frederick Sumaye]]
| akifuatwa na 2=
| tarehe ya kuzaliwa = 26 Agosti, 1953
| mahali pa kuzaliwa =
| kifo =
Mstari 27:
| }}
 
'''Edward Ngoyayi Lowassa''' (amezaliwa [[26 Agosti]], [[1953]]) ni mwanasiasa nchini [[Tanzania]]. Alichaguliwa kuwa [[Waziri Mkuu]] wa kumi wa nchi hii tarehe [[30 Desemba]] [[2005]] na akalazimishwa kujiuzulu tarehe [[7 Februari]], [[2008]] kwa kutajwa katika kamati ya bunge ya uchunguzi wa ufisadi katika utoaji wa tenda kwa kampuni ya umeme ya Richmond kama muhusikamhusika mkuu.
 
Lowassa ni mwenyeji na mbunge wa [[Monduli]] katika [[Mkoa wa Arusha]]. Alisoma shahada ya kwanza katika mada ya tamthilia kwenye Chuo Kikuu cha [[Dar es Salaam]], halafu shahada ya pili katika sayansi kwenye Chuo Kikuu cha Bath ([[Uingereza]]).
 
Lowassa ameshikaalishika vyeo mbalimbali katika serikali ya Tanzania kama vile:
* Waziri Mkuu (2005 - 2008)
Mstari 41:
* Mbunge wa Monduli tangu 1990
 
==Viungo vya Njenje==
*[http://www.pmo.go.tz/biography.php?cat=5&subcat=18 Tovuti ya Ofisi ya Waziri Mkuu wa Tanzania kuhusu Waziri Wakuu waliopita]
*[http://news.bbc.co.uk/2/hi/africa/7232141.stm BBC kuhusu kujiuzulu kwa Lowassa 2008]
*[http://www.kikweteshein.com/kikwete/thumbnails.php?album=6 Picha za Edward Lowassa]