Mkoa wa Manyara : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
→‎Viungo vya nje: mbegu-jio-manyara using AWB
d roboti Badiliko: es:Región de Manyara; cosmetic changes
Mstari 1:
[[ImagePicha:Tanzania_Manyara.png|right|thumbnail|260px|Mkoa wa Manyara katika Tanzania]]
[[ImagePicha:TZ Manyara wilaya.gif|thumb|260px|Wilaya za Mkoa wa Manyara]]
'''Mkoa wa Manyara''' ni kati ya mikoa 26 za [[Tanzania]]. [[Babati]] ndipo makao makuu ya mkoa. Umepakana na mikoa ya [[Mkoa wa Arusha|Arusha]] na [[Mkoa wa Kilimanjaro|Kilimanjaro]] upande wa kaskazini, [[Mkoa wa Tanga]] upande wa mashariki, [[Mkoa wa Dodoma]] upande wa Kusini na mikoa ya [[Mkoa wa Singida|Singida]] na [[Mkoa wa Shinyanga|Shinyanga]] upande wa magharibi.
 
Mkoa wa Manyara imetengwa na Mkoa wa Arusha mwaka 2002 kwa azimio la rais wa jamhuri ukiwa na eneo la 46,359 km².
 
== Wakazi ==
Jumla ya wakazi mkoani ilikuwa 1,040,461.[http://www.tanzania.go.tz/census/census/manyara.htm Sensa ya 2002]
Idadi imepatika katika wilaya zifuatazo (idadi ya wakazi katika mabano): Babati (303,013), Hanang (205,133), Mbulu (237,882), Simanjiro (141,676) na Kiteto (152,757)
Mstari 13:
Mkoa huu unayo majimbo ya uchaguzi yanayofikia (5) ambayo yanajumuisha majimbo ya Babati, Kiteto, Hanang, Mbulu na Simanjiro.
 
== Wilaya ==
 
Kuna wilaya zifuatazo: [[Wilaya ya Mbulu|Mbulu]], [[Wilaya ya Babati|Babati]], [[Wilaya ya Hanang|Hanang]], [[Wilaya ya Simanjiro|Simanjiro]] and [[Wilaya ya Kiteto|Kiteto]].
 
== Viungo vya nje ==
* [http://www.tanzania.go.tz/census/census/manyara.htm Manyara Matokeo ya sensa ya 2002]
* [http://www.tanzania.go.tz Serikali ya Tanzania]
* [http://www.uchaguzitanzania.com/new/categories/Ijue-Mikoa-ya-Tanzania/Manyara Ijue mikoa ya Tanzania ]
 
{{Mikoa ya Tanzania}}
Mstari 30:
[[en:Manyara Region]]
[[eo:Regiono Manyara]]
[[es:Región de Manyara]]
[[fr:Manyara (région)]]
[[it:Regione del Manyara]]