Bibi Titi Mohammed : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Bibi Titi Mohammed''' ni([[1926]] - [[5 Novemba]], [[2000]]) alikuwa mmoja wa wanawake wa kwanza kushika nafasi za ubunge na uwaziri nchini [[Tanzania]]. na piaPia nialikuwa kati ya wanawake wa kwanza kujiunga na harakati za kugombea uhuru wa [[Tanganyika]].
 
Mwaka 1969 Bibi Titi Mohammed alikamatwa na mwaka uliofuata alifikishwa mahakamani kwa kosa la kula njama ya kutaka kupindua serikali. Katika kesi hiyo, Bibi Titi alikuwa ni mwanamke pekee katika washtakiwa 7. Baada ya kesi hiyo kusikilizwa alipatikana na hatia na kuhukumiwa kifungo cha maisha. Hata hivyo, mwaka 1972 alisamehewa na rais [[Julius Nyerere]].
 
{{mbegu-mwanasiasa}}
 
{{DEFAULTSORT:Bibi Titi Mohammed}}
[[Category:Wanasiasa wa Tanzania]]
[[Jamii:Waliozaliwa 1926]]
[[Jamii:Waliofariki 2000]]
 
[[en:Bibi Titi Mohammed]]