Henry Morton Stanley : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Created page with 'right|thumb|Sir Henry Morton Stanley '''Sir Henry Morton Stanley''' (28 Januari, 1841 - 10 Mei, 1904) alikuwa mwandishi wa habari kutoka ...'
 
+"Sir"
Mstari 1:
[[Image:ST-stanley.jpg|right|thumb|Sir Henry Morton Stanley]]
'''Sir Henry Morton Stanley''' ([[28 Januari]], [[1841]] - [[10 Mei]], [[1904]]) alikuwa mwandishi wa habari kutoka [[Welisi]]. Jina lake la kuzaliwa ni '''John Rowlands'''. Mwaka wa 1859 alihamia [[Marekani]]. Hasa anajulikana kwa safari zake kwenda [[Afrika]], baadhi yao moja kwa ajili ya kumtafuta na kumgundua [[David Livingstone]] na nyingine kwa ajili ya kumsaidia [[Emin Pasha]]. Mwaka wa 1899 alipewa cheo cha "Sir" cha [[Uingereza]].
 
{{mbegu-mwandishi}}
Mstari 8:
[[Jamii:Waandishi wa Welisi]]
[[Jamii:Waandishi wa Marekani]]
[[Jamii:Watu waliopewa cheo cha "Sir"]]
 
[[en:Henry Morton Stanley]]