Kitabu cha Mormoni : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: pnb:مورمن دی کتاب
d rekebisho la jina
Mstari 1:
[[Picha:Book of Mormon 1830 edition reprint.jpg|100px|right]]
 
'''Kitabu cha Mormoni''' ni mwandiko wa kidini wa jumuiya ya [[Wamormoni]] walioitwa kufuatana na kitabu hiki. Wenyewe huamini kuwa ni kitabu kitakatifu chenye neno la Mungu. Jina la [[Mormoni]] lamtaja nabii na kiongozi wa kidini anayetambulishwa mle kama mhariri wa kitabu. Kitabu cha Mormoni kikatolewa mwaka [[1830]] na Mwamerika [[JohnJoseph Smith, Kijana]] aliyedai kuwa alitafsiri kitabu kutoka kwa mabamba ya dhahabu aliyopewa na malaika wa Mungu.
 
== Historia ndani ya Kitabu cha Mormoni ==
Kufuatana na taarifa za Kitabu watu walihamia kutoka nchi za Biblia mara tatu kwenda [[Amerika]].
 
Kundi la kwanza walikuwa Wajared walioondoka Mesopotamia baada ya kukwama kwa [[mnara wa Babeli]].