Brigham Young : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Created page with ''''Brigham Young''' (1 Juni, 1801 - 29 Agosti, 1877) alikuwa kiongozi wa Wamormoni aliyemfuata mwanzilishi Jospeh Smith, Kijana kuanzia mwaka wa 1847 ...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 10:14, 16 Oktoba 2009

Brigham Young (1 Juni, 1801 - 29 Agosti, 1877) alikuwa kiongozi wa Wamormoni aliyemfuata mwanzilishi Jospeh Smith, Kijana kuanzia mwaka wa 1847 hadi kifo chake. Hasa anajulikana kwa kuwaongoza Wamormoni katika safari yao ya kuhamia jimbo la Utah.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Brigham Young kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.