Vladimir Prelog : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
mbegu-mwanasayansi
+image
Mstari 1:
[[Image:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
[[File:Vladimir Prelog ETH-Bib Portr 00214.jpg|thumb|Vladimir Prelog]]
 
'''Vladimir Prelog''' ([[23 Julai]], [[1906]] – [[7 Januari]], [[1998]]) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya [[Uswisi]]. Hasa alichunguza mfumo wa pande tatu wa [[molekuli]] na [[atomu]] mbalimbali. Mwaka wa [[1975]], pamoja na [[John Cornforth]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel ya Kemia]]'''.