Mbuzi-kaya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
masahihisho na nyongeza ndogo
Mstari 23:
[[Picha:Geitenmelk.jpg|thumb|left|200px|Mbuzi akikamuliwa [[maziwa]]]]
 
'''Mbuzi''' ni [[mnyama]] katika ngeli ya [[mamalia]] mwenye miguu minne na mwenye tabia kamazinazofanana zana n[[ng'gombeombe]]. Kwa ukubwa, mbuzi aliyekomaa ni pungufu ya theluthi moja ya ng'mbe aliyekomaa. mbuzi

Mbuzi, kama alivyo n'gombe ni mnyama anayefugika. Hufugwa kwa ajili ya nyamma[[nyama]], [[maziwa]] na [[ngozi]] yake. Kwani nyama na maziwa ni [[chakula]], na ngozi kufanywa viatu, mishipi na mikoba pia.

Mbuzi hula majani, hucheuwa na kutafuna tafuna chakula chake mara kadhaa ilhali kikizunguka kati ya vyumba mbalimbali vya tumbo na mdomo wake kabla ya kukimeza kabisa, kama vile afanyavyo ngombeng'ombe.

Mara nyingi mbuzi hubeba mimba na kuzaa mapacha kadhaa.
 
Mbuzi ni kati ya wanyama wa kwanza waliofugwa na binadamu. Kuna [[spishi]] za kufugwa na spishi za pori.
 
== Viungo vya nje ==