Jamhuri ya Kijamaa ya Kisovyeti ya Kikazakhi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Ondoa: chy:Kazakh Sovikjıet Socilkıalist Repu; cosmetic changes
Mstari 1:
{| border=1 align=right cellpadding=4 cellspacing=0 width=300 style="margin: 0 0 1em 1em; background: #f9f9f9; border: 1px #aaaaaa solid; border-collapse: collapse; font-size: 95%;"
|+'''Jamhuri ya Kisovyeti ya Kijamii ya Kikazakhi '''
'''Қазақ Советтік Социалистік Республикасы

Казахская Советская Социалистическая Республика'''
''(Kasak Sovyettik Sotsialistik Respublikasi
Kazakhskaya Sovyetskaya Sotsialisticheskaya Respublika)''
|- align=center style="background:#ffffff;"
| [[ImagePicha:Flag of Kazakh SSR.svg|110px|Bendera ya Kazakhstan ya Kisovyeti]]
| [[ImagePicha:COA Kazakh SSR.png|80px|Nembo la Kazakhstan ya Kisovyeti]]
|- align=center
| colspan="2" style="background:#ffffff;" | [[ImagePicha:SovietUnionKazakhstan.png|Jamhuri ya Kikazakhi ndani ya Umoja wa Kisoveti]]
''Jamhuri ya Kikazakhi ndani ya Umoja wa Kisoveti''
|- align=center
| colspan="2" style="background:#ffffff;" |'''Wito la Umoja wa Kisovyeti:
Барлық елдердің
пролетарлары, бірігіңдер!'''
''(Kikazakhi: Wafanyakazi wa nchi zote muungane!)''

| width="140" | '''Lugha rasmi'''
Mstari 21:

| '''Kuanzishwa''' kama Jamhuri
- Jamhuri ndani ya Umoja wa Kisoveti
- kufutwa
|[[26 Agosti]] [[1920]]

[[30 Desemba]] [[1922]]

[[16 Desemba]] [[1991]]

| '''Eneo'''
Mstari 46:
Yenye eneo la 2,717,300 km² ilikuwa jamhuri kubwa ya pili ndani ya Umoja wa Kisovyeti baada ya [[Shirikisho la Jamhuri ya Kisovyiet ya Kijamii ya Kirusi|Urusi]]. Mji mkuu ulikuwa Alma-Ata inayoitwa leo [[Almaty]]. Tangu Desemba 1991 imekuwa nchi huria ya [[Kazakhstan]] katika [[Asia ya Kati]].

== Historia ==
Jina la nchi limetokana na Wakazakhi ambao ni taifa la watu wenye [[lugha ya Kiturki]].
Eneo liliwahi kuwa sehemu ya milki mbalimbali lakini tangu karne ya 15 Wakazakhi walijaribu kuungana mata kadhaa bila mafanikio ya kudumu. Tangu karne ya 17 milki ya Urusi ilianza kuenea katika Asia ya Kati na hadi 1865 eneo lote la Kazakhstan lilitawaliwa na Urusi.
Mstari 56:
1990/1991 wakati wa kuporomoka kwa Umoja wa Kisovyeti jamhuri ilijiondoa polepole. Kiongozi wa chama cha kikomunisti cha Kazakhstan [[Nursultan Nasarbajew]] alitangaza uhuru na kuwa rais wa kwanza akiendelea kutawala jinsi awali.

== Uchumi ==
Wakomunisti walifanya jitihadi kubwa kuchimba madini na kuanzisha viwanda pamoja na kupanusha kilimo. Miradi mikubwa ya kumwagilia ardhi yabisi yaliwezesha mavuno makubwa lakini yalisababisha pia kukauka kwa [[ziwa Aral]].

Umoja wa Kisovyeti ilijenga uwanja wa roketi wa [[Baikonur]] uliokuwa kituo kikuu cha kurusha vyombo vya angani.

[[CategoryJamii:Umoja wa Kisovyeti]]
[[CategoryJamii:Kazakhstan]]

[[af:Kazachstanse Sosialistiese Sowjetrepubliek]]
Mstari 71:
[[br:RSS Kazac'hia]]
[[ca:República Socialista Soviètica del Kazakhstan]]
[[chy:Kazakh Sovikjıet Socilkıalist Repu]]
[[cs:Kazašská sovětská socialistická republika]]
[[de:Kasachische Sozialistische Sowjetrepublik]]