Roho Mtakatifu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Badiliko: eu:Espiritu Santua
d roboti Badiliko: pt:Espírito Santo; cosmetic changes
Mstari 7:
Kwa jumla Roho Mtakatifu anasadikiwa kuvuviwa milele na Baba kwa njia ya Mwana.
 
== Jina ==
 
Kwa [[Kiebrania]] '''רוח''' ("''ruah''") ni jina la kike linalomaanisha ''roho'', lakini pia ''upepo'', ''pumzi''. "Roho Mtakatifu" ni '''רוח הקודש''', ''"ruah hakodesh"''.
Mstari 17:
Wazo hilo lilistawishwa na [[Waeseni]], halafu na [[Yohane Mbatizaji]] na [[Yesu Kristo]].
 
== Mifano ==
 
Kwa kuwa Nafsi ya tatu ni fumbo gumu kueleweka kuliko nyingine, Biblia inamfananisha na vitu mbalimbali: maji, mpako, moto, wingu, mwanga, mhuri, mkono, kidole, njiwa.
 
== Katika [[Agano la Kale]] ==
 
Tangu ukurasa wa kwanza wa [[Biblia]] uwepo wa Roho wa Mungu unatajwa kuhusu uumbaji wa ulimwengu.
 
== Katika [[Agano Jipya]] ==
 
Humo Roho Mtakatifu anafunuliwa na [[Yesu]] kikamilifu.
 
Ni hasa [[Injili ya Yohane]] (7:37-39; 14:16-17; 14:26; 15:7,26)
inayomtambulisha kama παρακλητος, (kwa Kigiriki, ''paracletos''), yaani Nafsi ambaye baada ya Yesu kupaa mbinguni anafariji/anatetea/anasimamia waamini badala yake.
 
Lakini hata [[Injili Ndugu]], hasa [[Injili ya Luka]], zinaonyesha uhusiano wa Roho Mtakatifu na Kristo tangu mwanzo wa maisha yake, yaani kuanzia [[umwilisho]] (Mt 1:18; Lk 1:34-35), kwa kupitia [[ubatizo]] (Mt 3:13-17; Mk 1:9-11; Lk 3:21-22; Yoh 1:31-33), miujiza (Mt 12:15-21; Mt 12:28; Mk 3:22-30) hadi kifo cha msalabani (Mt 27:50; Mk 15:37; Lk 23:46; Yoh 19:30).
Mstari 38:
Hapo [[Mtume Petro]] na wenzake walianza kutangaza habari njema kwa watu wa lugha mbalimbali waliokuwa [[Yerusalemu]] kwa ajili ya [[hija]].
 
== [[Vipaji vya Roho Mtakatifu]]<gallery></gallery> ==
*[[Mapokeo]] ya Kikristo, yakitumia Isa 11:2, yanaorodhesha ''vipaji saba'' vinavyoombwa hasa wakati wa [[kipaimara]]: [[hekima]], [[akili]], [[shauri]], [[nguvu]], [[elimu]], [[ibada]] na [[uchaji wa Mungu]].
 
Mstari 45:
Tofauti na vipaji na matunda ni [[karama]] mbalimbali ambazo Roho Mtakatifu anazigawa anavyotaka kwa ujenzi wa [[Kanisa]]: karama yoyote si ya lazima kwa wokovu wa mtu, wala hailengi kwanzi utakatifu wake, bali faida ya wengine.
 
[[CategoryJamii:Dini]]
[[CategoryJamii:Ukristo]]
 
[[af:Heilige Gees]]
Mstari 92:
[[no:Den Hellige Ånd]]
[[pl:Duch Święty]]
[[pt:Espírito Santo (cristianismo)]]
[[qu:Ch'uya Ispiritu]]
[[ro:Duhul Sfânt]]