Fyodor Dostoyevski : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: fiu-vro:Dostojevski Fjodor
d roboti Nyongeza: mwl:Fiódor Dostoiévski; cosmetic changes
Mstari 1:
[[ImagePicha:Dostoevsky 1872.jpg|thumb|right|200px|Fyodor Dostoyevski - uchoraji wa [[Vasily Perov]] 1872]]
'''Fyodor Mikhailovich Dostoyevski''' ([[Kirusi]]: Фёдор Миха́йлович Достое́вский) ([[11 Novemba]] [[1821]] (30 Oktoba ya [[Kalenda ya Juliasi]]) – [[9 Februari]] [[1881]] (28 Januari ya kalenda ya kale) alikuwa mwandishi wa riwaya nchini [[Urusi]].
Mara nyingi ametajwa kama mwandishi Mrusi muhimu zaidi. Kati ya riwaya zake zianzojulikana kimataifa ni "Kosa na adhabu" pamoja na "Ndugu Karamasov".
 
Dostoyevski alizaliwa katika familia ya makabaila maskini babake alikuwa mganga. 1838-1843 alisoma uhandisi kwenye chuo kikuu cha kijeshi mjini [[Sankt Peterburg]]. 1839 alipata habari ya kwamba baba aliuawa na wakulima waasi alipokaa kwenye shamba lake. 1844 Fyodor alianza kutunga riwaya yake ya kwanza "Watu Maskini" iliyopokelewa vizuri na kuweka msingi wa kwanza kwa umaarufu wake.
 
1847 Dostoyevski alishiriki katika kundi la wanamapinduzi akakamatwa na kupewa adhabu ya kifo akasamehewa na Tsar Nikolai I na badala yake akapewa adhabu ya kufanya kazi nzito kwa muda wa miaka minne huko [[Siberia]]. Baadaye alipaswa kujiunga na jeshi hadi 1859.
 
Aliedndelea kuandika na riwaya ya kwanza iliyopokelewa pia kimataifa ilikuwa "Kosa na Adhabu" inayosimulia habari za mwanafunzi wa chuoni Rodion Raskolnikov anayekuwa mwuaji lakini baadaye anaanza kutambua dunia upya. Uwezo wa Dostoyevski wa kuonyesha roho na saikolojia ya watu ulionekana bora katika riwaya hii.
Mstari 15:
{{mbegu-mwandishi}}
 
[[CategoryJamii:Waandishi wa Urusi|Dostoyevsky, Fyodor Mikhailovich]]
[[CategoryJamii:Waliozaliwa 1821|Dostoyevsky, Fyodor Michailovich]]
[[CategoryJamii:Waliofariki 1881|Dostoyevsky, Fyodor Michailovich]]
 
{{Link FA|hr}}
Mstari 74:
[[mn:Фёдор Михайлович Достоевский]]
[[mr:फ्योदर दस्तयेवस्की]]
[[mwl:Fiódor Dostoiévski]]
[[nl:Fjodor Dostojevski]]
[[nn:Fjodor Dostojevskij]]