Migoli : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Created page with 'Migoli ni kijiji ndani ya mkoa wa Iringa nchini Tanzania, kijiji hiki kinapatikana ndani ya bwawa la mtera ambako wakazi wengi hutegemea maisha yao katika uvuvi, eneo hili ni end...'
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Migoli''' ni kijiji ndani ya mkoa[[Mkoa wa Iringa]] nchini [[Tanzania,]]. kijijiKijiji hiki kinapatikana ndani ya bwawa[[Bwawa la mteraMtera]] ambako wakazi wengi hutegemea maisha yao katika uvuvi,. eneoEneo hili ni endelevu hasa ukilinganisha na vijiji vingine ndani ya nchi ya tanzaniaTanzania, nachotaka kusemakinachomaanishwa ni kuwa, kijiji hiki kina huduma nyingi za jamii ambazo zimetokana na juhudi za serikali yenyewe,. wafadhili

Wafadhili wa miradi mbalimbali kama vile Parokia ya migoli makampuni ya mawasiliano kama vile Zain, Tigo, Vodacom na ZanTel. eneoEneo hili halina rutuba hivyo wakazi wa kijiji hiki hawajishughurishi kwenye kilimo hivyo wao chakula wananunua kutoka sehemu ambazo chakula kinalimwa kama vile ismani na mtamba Dodoma.
 
[[Jamii:Mkoa wa Iringa]]
 
 
{{mbegu-jio-TZ}}