Tofauti kati ya marekesbisho "Cecil Rhodes"

14 bytes removed ,  miaka 10 iliyopita
d
roboti Badiliko: az:Sesil Rods; cosmetic changes
d (roboti Nyongeza: sh:Cecil Rhodes)
d (roboti Badiliko: az:Sesil Rods; cosmetic changes)
[[ImagePicha:Cecil Rhodes - Project Gutenberg eText 16600.jpg|thumb|250px|Cecil Rhodes]]
'''Cecil John Rhodes''' (* [[5 Julai]] [[1853]] Uingereza; † [[26 Machi]] [[1902]] Afrika Kusini) alikuwa mfanyabiashara na mwanasiasa Mwingereza aliyetajirikia kutokana na malighafi za [[Afrika Kusini]] na kujenga himaya yake ya binafsi kati Afrika ya Kusini. Alianzisha [[koloni]] za [[Rhodesia ya Kaskazini]] na [[Rhodesia ya Kusini]] zilizokuwa baadaye [[Zambia]] na [[Zimbabwe]].
 
Alikuwa kati ya wapangaji na watetezi wa [[ubeberu]] wa Uingereza katika karne ya 19. Aliamini ya kuwa Waingereza ni mbari wa juu duniani.
 
Alizaliwa Bishop's Stortford (Uingereza) akiwa mtoto wa mchungaji wa kanisa. 1870 wazazi walimtuma kijana kwenda Afrika Kusini kwa shabaha ya kuboresha afya yake akiwa na matatizo kutokana na hali ya hewa Uingereza. Baada ya kufika alijishughulisha na biashara ya migodi ya almasi ya [[Kimberley (Afrika Kusini)]] akatajirika haraka. Akarudi Uingereza akasoma kwenye chuo kikuu cha Oxford lakini alipaswa kurudi Afrika kwa sababu ya afya. Akajiunga na siasa akawa mbunge wa koloni ya rasi tangu 1881.
 
1880 alianzisha kampuni yake ya binafsi ya [[De Beers]] iliyopata baadaye nafasi ya kwanza katika biashara ya almasi duniani.
 
 
[[CategoryJamii:Historia ya Afrika Kusini]]
[[CategoryJamii:Historia ya Zambia]]
[[CategoryJamii:Historia ya Zimbabwe]]
 
[[af:Cecil John Rhodes]]
[[ar:سيسل رودس]]
[[ast:Cecil Rhodes]]
[[az:Sesil Con Rods]]
[[br:Cecil Rhodes]]
[[bs:Cecil Rhodes]]
43,992

edits