Tofauti kati ya marekesbisho "Bunduki"
Picha
d (roboti Nyongeza: an:Arma de fuego, lt:Šaunamasis ginklas) |
(Picha) |
||
[[
[[Picha:Armas Infantería EA.JPG|thumb|Aina mbalimbali za bunduki]]
'''Bunduki''' ni [[silaha]] inayorusha [[risasi]] dhidi ya shabaha yake. Ndani ya bunduki inatokea mlipuko wa [[baruti]] na [[gesi]] joto za mlipuko zinasukuma risasi kuelekea mwendo wa [[kasiba]] yake. Kutokana na sifa hii huitwa pia [[silaha ya moto]].
*Bunduki ndogo yenye kasiba fupi ni [[bastola]].
*Bunduki kubwa kiasi inayofyatua risasi nyingi wakati moja ni [[bombomu]] (au: mzinga wa bombom; bunduki ya mtombo; bunduki ya rashasha).
*[[Bunduki ya upepo]] inazotumia nguvu ya gesi yenye shindikizo bila mlipuko. Silaha ndogo ya aina hii shindikizo inapatikana kwa kukandamiza hewa katika chumba cha bunduki. Aina zenye nguvu zinatumia ramia isiyo na baruti bali na gesi iliyokandamizwa ndani yake. Faida yake ni hazina kelele kubwa.
*[[Bunduki ya marisau]] hutumiwa kwa kuwinda wanyama ikifyatua risasi nyingi ndogondogo. Ni rahisi zaidi kushika shabaha lakini haipigi mbali.
*[[Gobori]] ni bunduki ambako risasi na baruti zinaingizwa kupitia mdomo wake katika kasiba. Inapiga mara moja tu halafu ni lazima kuijaza upya. Aina hii ni silaha ya kihistoria lakini hupatikana pia kama silaha inayotengenezwa nyumbani.
[[
[[af:Vuurwapen]]
|