Migoli : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Migoli''' ni [[mji mdogo]] wa [[Mkoa wa Iringa]] nchini [[Tanzania]], kwenye mita 700 juu ya usawa wa bahari.
'''Migoli''' ni kijiji ndani ya [[Mkoa wa Iringa]] nchini [[Tanzania]]. Kijiji hiki kinapatikana ndani ya [[Bwawa la Mtera]] ambako wakazi wengi hutegemea maisha yao katika uvuvi. Eneo hili ni endelevu hasa ukilinganisha na vijiji vingine ndani ya nchi ya Tanzania, kinachomaanishwa ni kuwa kijiji hiki kina huduma nyingi za jamii ambazo zimetokana na juhudi za serikali yenyewe.
 
Unapatikana kando ya [[Bwawa la Mtera]] ambako wakazi wengi hutegemeza maisha yao katika [[uvuvi]].
 
Eneo hili lina [[rutuba]] lakini [[mvua]] ni chache (kwa kawaida haifikii mm. 300 kwa mwaka), hivyo wakazi hawajishughulishi sana na kilimo, hivyo wananunua nafaka kutoka sehemu ambazo zinalimwa kwa wingi, kama vile [[Ismani]] tarafani na Mtamba Dodoma.
 
Kumbe ni eneo maarufu kwa [[ufugaji]], hasa wa [[ng'ombe]] na [[mbuzi]], wanaostawi katika mbuga isiyo na [[malale]].
 
Eneo hili, ambapo inapita barabara kuu ya [[Afrika]] kutoka [[Misri]] hadi [[Afrika Kusini]] (ingawa sehemu hii kati ya [[Dodoma]] na [[Iringa]] haijatiwa lami), ni endelevu hasa ukilinganishwa na vijiji vingine vya nchi ya Tanzania, kwa kuwa una huduma nyingi za jamii ambazo zimetokana na juhudi za [[serikali]] na wananchi wenyewe.
 
Wafadhili wa miradi mbalimbali ni kama vile [[parokia]] [[Kanisa Katoliki|katoliki]] ya Migoli na makampuni ya mawasiliano kama vile Zain, Tigo, Vodacom na Zantel.
 
 
Wafadhili wa miradi mbalimbali kama vile Parokia ya migoli makampuni ya mawasiliano kama vile Zain, Tigo, Vodacom na ZanTel. Eneo hili halina rutuba hivyo wakazi wa kijiji hiki hawajishughurishi kwenye kilimo hivyo wao chakula wananunua kutoka sehemu ambazo chakula kinalimwa kama vile ismani na mtamba Dodoma.
 
[[Jamii:Mkoa wa Iringa]]