Lordi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: stq:Lordi
d roboti Ondoa: na:Lordi; cosmetic changes
Mstari 19:
 
Wanachama wa Lordi wanaeleweka kwa jinsi wanavyojieleza wenyewe kama jinsi wanavyovisha mavazi ya mijitu ya kutisha wakati wanapofanya maonyesho yao au hata video zao. Lordi pia hujulikana kwa jina la "The Finnish Monsters" na "The Monsters of Finland".
== Siku za mwanzo ==
Mwanzoni mwa miaka ya 1990, Putaansuu alikuwa akicheza katika bendi ndogo ya mjini Rovaniemi. Aliondoka bendini kwa kufuatia wanachama wengine wa katika bendi hawakubaliana na uanzishaji wa muziki wakiwa ukumbini hasa kwa kuingiliana na vipengele vya staili ya bendi ya KISS. Putaansuu akaanza kutengeneza muziki wa demo chini ya jina la Lordi kunako mwaka wa 1991 na kuendelea kufanya hivyo kwa miaka kadhaa ya usoni. Mnamo mwaka wa 1995 ametengeneza wimbo wa "Inferno" na muziki wa video kwa ajili mradi fulani wa shule. Video haikutolewa kwa kufuatia Putaansuu hakuvaa kinyago kwenye video hiyo ndiyo sababu iliyopelekea video isitolewe.
 
Baada ya "Inferno", Putaansuu akaota. Katika ndoto hiyo, ilimwonyesha yeye akiwa akiwa kwenye onyesho na kuna kiunzi cha mifupa kinacheza juu ya jukwaa. Alipoamka, akaelewa kwamba Lordi inapaswa kuwa bendi ya muziki wa [[Heavy metal music|Heavy metal]] iliojawa na vizuka. Lile jitu la kutisha alioiona kwenye ndoto hatimaye akaja kuwa mpiga gita wao Kalma.
== Mapambo ==
==Diskografia==
=== Studio Albamu ===
{| class=wikitable style=text-align:center;
! rowspan=2| Mwaka
Mstari 142:
|-
|}
== Marejeo ==
{{reflist}}
 
== Viungo vya Nje ==
{{Commons|Lordi}}
{{Wikinews|:Category:Lordi}}
Mstari 243:
[[ms:Lordi]]
[[mt:Lordi]]
[[na:Lordi]]
[[nah:Lordi]]
[[nap:Lordi]]