Uainishaji wa kisayansi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: tk:Biologik sistematika
tahajia
Mstari 3:
'''Uainishaji wa kisayansi''' ni namna jinsi wataalamu wa [[biolojia]] hupanga [[viumbehai]] kama [[mimea]] na [[wanayama]] kwa vikundi kwenye ngazi mbalimbali. Inaweza kuitwa pia '''taksonomia'''.
 
Tangu muda mrefu watu walitambua ya kwamba wanyama au mimea mbalimbali wanafanana kati yao kwa namna moja au nyingine. Wataalamu walijaribu kupanga aina hizi kwa vikundevikundi vyenye tabia za pamoja. [[Carolus Linnaeus]] alianza kuzipanga kwa muundo ulioeleweka kulingana na tabia za maubile yao.
 
Mfumo wa Linnaeus uliendelezwa baadaye kulingana na nadharia ya [[Charles Darwin]] inayoona ya kwamba spishi mbalimbali huwa na chanzo cha pamoja kwa hiyo inawezakana kupanga uhai wote kama matawi ya mti yenye matawi makubwa na tena madogo yanayotoka kwenye makubwa.