Ceuta : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: mr:सेउता
d roboti Badiliko: eu:Ceuta; cosmetic changes
Mstari 1:
[[ImagePicha:Ceuta.png|thumb|right|250px|Ceuta ([[Hispania]])]]
'''Ceuta''' (tamka: the-uta; [[Kiarabu]]: سبتة ''sabta'') ni mji wa Ki[[hispania]] ndani ya eneo la [[Moroko]] kwenye pwani la [[Mediteranea]]. Ceuta iko karibu na mji wa Tetouan upande wa Moroko. Umbali na [[Hispania]] ni 21 km kuvuka [[mlango wa bahari wa Gibraltar]]. Pamoja na mji wa [[Melilla]] ni sehemu ya [[Hispania]] na [[Umoja wa Ulaya]] kisiasa , lakini kijiografia ni sehemu ya [[Afrika]]. Moroko inadai ni sehemu ya eneo lake la kitaifa.
 
Ceuta ina wakazi 75.276 katika eneo la 18,5 km².
 
== Historia ==
Ceuta inaaminika imeundwa na [[Karthago]] katika karne ya tano [[KK]]. Jina la Kigiriki la mji imekuwa "Επτά Αδελφοί" (hepta adelphoí - ndugu saba). Tangu Waroma walichukua utawala wa Afrika ya Kaskazini mji ulijulikana kwa jina la "Septem Fratres" (ndugu saba). Jina hili limeendelea hadi leo mji ukiitwa "sabta" kwa Kiarabu au kwa matamshi ya Kihispania "Ceuta".
 
Kuanzia karne ya tano [[BK]] mji umetawaliwa na [[Wavandali]]. Mwaka [[710]] [[Waarabu]] [[Uislamu|Waislamu]] walifika wakipita Ceuta kuvamia Hispania. Hadi [[karne ya 14]] mji ulikuwa chini ya watawala Waislamu ama Waarabu au Waberiberi.
 
Mw. [[1415]] [[Ureno|Wareno]] waliteka Ceuta wakaitawala hadi [[1668]]. Baada ya vita kati ya Ureno na Hispania mji ulikabidhiwa kwa mfalme wa Hispania.
Mstari 16:
 
{{Mbegu-jio-Hispania}}
[[CategoryJamii:Miji ya Hispania]]
 
[[af:Ceuta]]
Mstari 37:
[[es:Ceuta]]
[[et:Ceuta]]
[[eu:ZeutaCeuta]]
[[fa:سبته]]
[[fi:Ceuta]]