Bergisch Gladbach : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: es:Bergisch Gladbach
d roboti Badiliko: ja:ベルギッシュ・グラートバッハ; cosmetic changes
Mstari 1:
[[ImagePicha:Bergisch Gladbach altes Rathaus.jpg|thumb|right|300px|Ukumbi wa zamani wa mjini Bergisch Gladbach.]]
'''Bergisch Gladbach''' ni [[mji]] uliopo nchini [[Ujerumani]] katika jimbo la [[North Rhine-Westphalia]]. Mji upo karibu na mji wa [[Cologne]] na una wakazi takriban 110,016 waishio katika mji huo.
 
== Jiografia ==
Mji wa Bergisch Gladbach upo mjini mashariki mwa [[Mto Rhine]]. Kilomita kumi ya mashriki ya mji wa [[Cologne]].
 
=== Manispaa jirani za mji huu ===
Kwa kuanzia kaskazini mwa mji huu, miji ya jirani na mji huu ni: [[Odenthal]], [[Kürten]], [[Overath]], [[Rösrath]], [[Cologne]] na [[Leverkusen]].
 
== Historia ==
Makazi ya awali yalianza tangu kunako [[karne ya 13]], lakini mji uligunduliwa rasmi mnamo mwaka wa [[1856]].
 
[[ImagePicha:Bensberg Rathaus2.jpg|thumb|220xp|left|Ngoma ya kale ya mjini Bensberg]]
Neno “Bergisch” linatokana na asili ya eneo lake la [[Berg (mkoa wa Ujerumani)|Berg]] na ulipngwa kuondolewa katika [[Mönchengladbach]]. Mnamo mwaka wa 1975, mji huu ukishirikiana na mji wa jirani yake wa Bensberg na ulipofikia idadi ya watu 100,000 mnamo 1977 mji ukapewa heshima kuwa [[jiji]].
 
== Viungo Nje ==
* [http://www.bergischgladbach.de Bergisch Gladbach Official site] {{de icon}}
* [http://www.feuerwehr-gl.de Fire Department Bergisch Gladbach] {{de icon}}
Mstari 22:
 
 
[[CategoryJamii:Miji ya North Rhine-Westphalia]]
[[CategoryJamii:Miji ya Ujerumani]]
 
{{mbegu-jio-Ujerumani}}
Mstari 38:
[[hr:Bergisch Gladbach]]
[[it:Bergisch Gladbach]]
[[ja:ベルギッシュ・グラトバッハ]]
[[kk:Бергиш Гладбах]]
[[ksh:Jläbbisch]]