José Echegaray y Eizaguirre : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Badiliko: fr:José de Echegaray; cosmetic changes
Mstari 1:
[[ImagePicha:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
 
'''José Echegaray y Eizaguirre''' ([[19 Aprili]], [[1832]] – [[4 Septemba]], [[1916]]) alikuwa mwanahisabati, mwanasiasa na mwandishi wa tamthiliya kutoka nchi ya [[Hispania]]. Alianza kuandika tu alipofikisha umri wa miaka 42. Kabla ya kuwa mashuhuri kama mwandishi, alikuwa profesa wa hisabati na mwanasiasa (kwa mfano, aliteuliwa kuwa Waziri wa Fedha mwaka wa 1874). Mwaka wa 1904, pamoja na [[Frederic Mistral]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel]] ya Fasihi'''.
 
{{DEFAULTSORT:Echegaray y Eizaguirre, Jose}}
[[CategoryJamii:Waliozaliwa 1832]]
[[CategoryJamii:Waliofariki 1916]]
[[CategoryJamii:Waandishi wa Hispania]]
[[CategoryJamii:Wanasiasa wa Hispania]]
[[CategoryJamii:Tuzo ya Nobel ya Fasihi]]
 
{{mbegu-mwandishi-Ulaya}}
Mstari 29:
[[eu:José Echegaray]]
[[fi:José Echegaray y Eizaguirre]]
[[fr:José de Echegaray]]
[[gd:José Echegaray y Eizaguirre]]
[[he:חוסה אצ'גרי]]