Tofauti kati ya marekesbisho "Yordani (mto)"

56 bytes added ,  miaka 12 iliyopita
no edit summary
d (roboti Badiliko: la:Iordanis)
No edit summary
 
Chanzo cha Yordani ni mito minne inayoanza karibu na [[mlima Hermoni]] mpakani wa Israel, [[Lebanon]] na [[Syria]].
Mito ya chanzo inaungana katika Israel ya kaskazini. Yordani hupita eneo la [[GalileaGalilaya]] inapounda [[ziwa Genesareti]] na kutelemkabaada ya kutoka inatelemka kwa kunyoka mara nyingi hadi [[Bahari ya Chumvi]]. Mdomo wake uko 400 m chini ya usawa wa bahari hivyo Yordani ni mto wa duni kabisa duniani.
 
Kiasi cha maji kwenye sehemu ya kusini ya mto kimepungua sana kwa sababu Israel inavuta sehemu kubwa ya maji na kuitumia kwa ajili ya matumizi kibinadamu katika miji yake.