William Fowler : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: left|80px '''William Alfred Fowler''' (9 Agosti, 191114 Machi, 1995) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Baadhi ya utafiti ...
(Hakuna tofauti)

Pitio la 12:22, 22 Januari 2007

William Alfred Fowler (9 Agosti, 191114 Machi, 1995) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Baadhi ya utafiti mwingine alichunguza uenezaji wa elementi za kikemia ndani ya nyota. Mwaka wa 1983, pamoja na Subrahmanyan Chandrasekhar alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.