Frati : Tofauti kati ya masahihisho
no edit summary
d (roboti Badiliko: id:Sungai Efrat) |
No edit summary |
||
'''Mto Frati''' ([[Kigiriki]]: Ευφράτης ''euphrátēs''; [[Kiakkadi]]: Pu-rat-tu; [[Kiebrania]]: פְּרָת ''Pĕrāth''; [[Kiaramu]]: ܦܪܬ ''Prâth''; [[Kar.]]: الفرات ''al-furāt''; [[Kituruki]]: Fırat; [[Kikurdi]]: فرهات, Firhat) ni [[mto]] mkubwa wa [[Asia]] ya magharibi.
Frati ina urefu wa takriban 2,781 km.
Katika Biblia imetajwa kama mto mmojawapo wa paradiso.▼
Pamoja na [[Hidekeli]] ([[Tigri]]), ambao pia unatoka katika milima ya [[Uturuki]] ya Mashariki, unaunda eneo la [[Mesopotamia]] (yaani "kati ya mito"; leo kwa kiasi kikubwa inalingana na Iraq).
[[Picha:Bassin Tigre Euphrate.jpg|thumb|left|350px|Malambo kwenye Frati ''(Euphrate)'' na Hidekeli ''(Tigre)'']]▼
Mto Frati unapita katika maeneo makavu hivyo nchi zote unapopita zianjaribu kutumia maji yake kwa vituo vya kuvuta maji na malambo mbalimbali yaliyounda maziwa makubwa. ▼
Karibu na mji wa [[Basra]] mito hiyo inaungana na kuitwa [[Shatt al Arab]] hadi mdomo wake katika [[Ghuba ya Uajemi]].
▲[[Picha:Bassin Tigre Euphrate.jpg|thumb|left|350px|Malambo kwenye Frati ''(
▲Mto Frati unapita katika maeneo
▲Katika [[Biblia]]
{{mbegu-jio-Asia}}
[[Jamii:Mito ya Syria]]
[[Jamii:Mito ya Uturuki]]
[[Jamii:Mesopotamia]]
[[Jamii:Ghuba ya Uajemi]]
▲[[Jamii:Mahali pa Biblia]]
[[am:ኤፍራጥስ ወንዝ]]
|