Sinai (mlima) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Jabal-musa-location.png|thumb|left|300px|Mahali pa mlima Sinai kwenye rasi ya Sinai]]
[[Image:MountSinaiView.jpg|thumbnail|250px|right|Mazingira ya mlima Sinai]]
'''Mlima Sinai''' (kwa ''[[Kiar.Kiarabu]]:'' جبل موسى jabal Musa = mlima wa [[Musa]]) ni [[mlima]] wenye kimo cha [[mita]] 2,283 juu ya [[UB]] katika eneo la kusini yala [[Rasi ya Sinai]] nchini [[Misri]]. Unajulikana pia kwa jina la '''Mlima Horeb''' au kwa jina lake la [[Kiarabu]] kama '''Gebel Musa''' (matamshi ya Kimisri) au '''Jabal Musa''' (matamshi ya Kiarabu sanifu).
 
Mlima Sinai unaaminiwa tangu kale kuwa ndio mahali ambako [[Musa]] alipokea [[amri kumi]] kutoka kwa [[Mungu]] wakati wa [[Wanaisraeli]] kuacha [[utumwa wa Misri]].
 
Kilele cha mlima kina [[kanisa]] la [[Waorthodoksi]] lenye asili ya jengo la [[Kaisari]] [[Justiniano I]] la mwaka [[532]] na pia [[msikiti]] wa [[karne ya 12]].
Mstari 14:
*[http://www.baseinstitute.org/ Contains many photos of both claimed sites, and some research.]
 
[[Category:Historia ya Biblia]]
[[Jamii:Mahali pa Biblia]]
[[Category:Milima ya Misri|Sinai]]
[[CategoryJamii:HistoriaMilima ya Biblia]]
 
[[ar:جبل موسى]]