Tofauti kati ya marekesbisho "Yordani (mto)"

99 bytes added ,  miaka 12 iliyopita
no edit summary
No edit summary
No edit summary
 
 
'''Yordani''' ([[Kiebrania]]: נהר הירדן ''nehar hayarden'', [[Kiarabu]]: نهر الأردن ''nahr al-urdun'') ni mto mdogo katika [[Mashariki ya Kati]] lakini ni kati ya mito inayojulikana sana duniani kwa sababu imetajwa mara nyingi katika [[Biblia]]. KwaHivyo sehemu kubwa ya njia yake ni mpaka kati ya ufalme wakatika [[Yordanidini]] upande wa mashariki na maeneo ya [[Palestina]] na [[Israel]] upande wa magharibi. Katika dini za [[Uyahudi]] na [[Ukristo]] Yordani ina maana ya kidini.
 
Kwa sehemu kubwa ya njia yake uko chini ya [[usawa wa bahari]] na ni mpaka kati ya ufalme wa [[Yordani]] upande wa mashariki na maeneo ya [[Palestina]] na [[Israel]] upande wa magharibi.
Chanzo cha Yordani ni mito minne inayoanza karibu na [[mlima Hermoni]] mpakani wa Israel, [[Lebanon]] na [[Syria]].
Mito ya chanzo inaungana katika Israel ya kaskazini. Yordani hupita eneo la [[Galilaya]] inapounda [[ziwa Genesareti]] na baada ya kutoka inatelemka kwa kunyoka mara nyingi hadi [[Bahari ya Chumvi]]. Mdomo wake uko 400 m chini ya usawa wa bahari hivyo Yordani ni mto wa duni kabisa duniani.
 
Chanzo cha Yordani ni mito minne inayoanzainayobubujika karibu na [[mlima Hermoni]] mpakani wakwa Israel, [[Lebanon]] na [[Syria]].
Kiasi cha maji kwenye sehemu ya kusini ya mto kimepungua sana kwa sababu Israel inavuta sehemu kubwa ya maji na kuitumia kwa ajili ya matumizi kibinadamu katika miji yake.
 
Mito ya chanzo inaungana katika Israel ya kaskazini.
Bonde la Yordani ni sehemu ya kaskazini ya [[Bonde la Ufa la Afrika ya Mashariki]] linaloenelea katika bonde la Araba na kupita [[Bahari ya Shamu]] hadi kuonekana tena [[Eritrea]].
 
Mito ya chanzo inaungana katika Israel ya kaskazini. Yordani hupita eneo la [[Galilaya]] inapounda [[ziwa Genesareti]] na baada ya kutoka hapo inatelemka kwa kunyoka mara nyingi hadi [[Bahari ya Chumvi]]. Mdomo wake uko 400 m chini ya usawa wa bahari hivyo Yordani ni mto wa duni kabisa duniani.
 
Mdomo wake uko 400 m chini ya [[usawa wa bahari]], hivyo Yordani ni mto wa pekee kabisa duniani.
 
Kiasi cha maji kwenye sehemu ya kusini ya mto kimepungua sana kwa sababu Israel inavuta sehemu kubwa ya maji na kuitumia kwa ajili ya matumizi ya kibinadamu katika miji yake.
 
Bonde la Yordani ni sehemu ya kaskazini ya [[Bonde la Ufa la Afrika ya Mashariki]] linaloenelealinaloendelea katika bonde la Araba na kupita [[Bahari ya Shamu]] hadi kuonekana tena [[Eritrea]].
 
[[Jamii:Mito ya Israel]]
[[Jamii:Mito ya Palestina]]
[[Jamii:Mito ya Yordani]]
[[Jamii:MahaliMito paya Biblia]]
 
[[ar:نهر الأردن]]