Hekalu la Yerusalemu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Jerusalem Ugglan 1.jpg|thumb|300px|Uchoraji wa Hekalu ya Kwanza]]
'''Hekalu yala Yerusalemu''' ilikuwalilikuwa kitovu cha [[ibada]] za [[Uyahudi]] wakati wa [[Israeli ya Kale. Kwa jumla kulikuwa na majengo mawili yaliyofuatana kwenye mlima wa hekalu mjini [[Yerusalemu]]. Imani ya Kiyahudi inategemea kujengwa kwa hekalu ya tatu pamoja na kuja kwa [[Masiya]] wakati ujao.
 
Kwa jumla kulikuwa na majengo mawili yaliyofuatana kwenye [[mlima]] wa [[hekalu]] [[mji|mjini]] [[Yerusalemu]].
Katika imani ya Kiyahudi sehemu ya Patakatifu pa Patakatifu ndani ya hekalu ilikuwa mahali ambako Mungu mwenyewe aligusa dunia.
 
[[Imani]] ya Kiyahudi inategemea kujengwa kwa hekalu la tatu pamoja na kuja kwa [[Masiya]] wakati ujao.
==Hekalu ya kwanza==
Hekalu ya kwanza ilijengwa na mfalme [[Suleimani]] kuanzia mwaka [[957 KK]]. Hekalu hii ilichukua nafasi ya [[hema ya kukutania]] iliyotunza vifaa vya ibada za Kiyahudi tangu siku za kale ikaaminiwa tangu [[Musa]].
 
Katika imani ya Kiyahudihiyo sehemu ya Patakatifu pa Patakatifu ndani ya hekalu ilikuwapalikuwa mahali ambakoambapo [[Mungu]] mwenyewe aligusa dunia.
Hekalu hii ilikuwa mahali pa pekee palipotazamiwa kuwa sehemu halali kwa ibada za sadaka. Hata hivyo kuna taarifa katika Biblia kuhusu ibada kwenye "mahali pa juu" yaani juu ya milima zilizolaumiwa katika Biblia kama ishara ya imani potofu.
 
==Hekalu yala kwanza==
Hekalu hii ya Suleimani iliharibika mwaka [[587 KK]] wakati [[Nebukadreza II]] wa [[Babeli]] alipovamia Yerusalemu na kuharibu mji.
Hekalu yala kwanza ilijengwalilijengwa na mfalme [[Suleimani]] kuanzia mwaka [[957 KK]]. Hekalu hiihilo ilichukualilichukua nafasi ya [[hema ya kukutania]] iliyotunza vifaa vya ibada za Kiyahudi tangu siku za kale ikaaminiwa(iliaminiwa tangu [[Musa]]).
 
Hekalu hilo lilikuwa mahali pa pekee palipotazamiwa kuwa sehemu halali kwa ibada za [[sadaka]].
==Hekalu ya Pili==
Baada ya ushindi wa Waajemi juu ya Babeli mwaka [[539 KK]] mfalme [[Koreishi]] aliwaruhusu Wayahudi kujenga hekalu upya. [[Kitabu cha Ezra]] katika Biblia kinasimulia habari hizi.
 
Hata hivyo kuna taarifa, hasa katika sehemu za zamani za [[Biblia]], kuhusu ibada kwenye "mahali pa juu" (yaani juu ya milima) zilizolaumiwa kama ishara ya imani potofu baada ya [[urekebisho]] wa mfalme [[Yosia]] uliofanya hekalu la Yerusalemu pekee kuwa halali.
Ujenzi ulifuata mpango wa hekalu ya kwanza na ulifanya mahali palepale Yerusalemu kwenye "mlima wa hekalu". Katika hekalu hii ya pili sehemu ya Patakatifu pa Patakatifu ilikaa bila kitu ndani yake kwa sababu Sanduku la Agano lilipotea tangu kubomolewa kwa hekalu ya kwanza.
 
Hekalu hiihilo yala Suleimani iliharibikalilibomolewa mwaka [[587 KK]] wakati [[Nebukadreza II]] wa [[Babeli]] alipovamia Yerusalemu na kuharibu mji mzima.
Hekalu iliharamishwa na mfalme [[Antiochos IV]] mwaka [[169 KK]] alipoweka hapa sanamu ya mungu wa Kigiriki [[Zeus]]. Hatua hii ilisababisha upinzani wa [[Wamakabayo]] waliorudisha ibada ya Kiyahudi hekaluni na hadi leo sherehe ya Hanuka inakumbusha kutakaswa kwa hekalu.
 
==Hekalu yala Pili==
Baada ya ushindi wa [[Waajemi]] juu ya Babeli (mwaka [[539 KK]]) mfalme [[KoreishiKoreshi]] aliwaruhusu Wayahudi kujenga hekalu upya. [[Kitabu cha Ezra]] katika Biblia kinasimulia habari hizihekalu.
 
[[Kitabu cha Ezra]] katika Biblia kinasimulia habari hizi.
 
Ujenzi ulifuata mpango wa hekalu la kwanza na ulifanyika mahali palepale Yerusalemu kwenye "mlima wa hekalu".
 
Ujenzi ulifuata mpango wa hekalu ya kwanza na ulifanya mahali palepale Yerusalemu kwenye "mlima wa hekalu". Katika hekalu hiihilo yala pili sehemu ya Patakatifu pa Patakatifu ilikaa bila ya kitu ndani yake, kwa sababu [[Sanduku la Agano]] lilipotea tangu kubomolewa kwa hekalu yala kwanza.
 
Hekalu liliharamishwa na mfalme [[Antioko IV]] mwaka [[169 KK]] alipoweka hapa [[sanamu]] ya mungu wa Kigiriki [[Zeus]].
 
Hekalu iliharamishwa na mfalme [[Antiochos IV]] mwaka [[169 KK]] alipoweka hapa sanamu ya mungu wa Kigiriki [[Zeus]]. Hatua hiihiyo ilisababisha upinzani wa [[Wamakabayo]] waliorudisha ibada ya Kiyahudi hekaluni na hadi leo sherehe ya [[Hanuka]] inakumbusha kutakaswa kwa hekalu.
 
===Matengenezo chini ya Herode===
Mnamo mwaka [[21 KK]] mfalme [[Herode Mkuu]] aliamuru matengenezo ya hekalu. Wataalamu wengi huona ya kwamba matengenezo yalifanana na ujenzi mpya hekalu ilipambwa na kuongezeka.
 
Wataalamu wengi huona ya kwamba matengenezo yalifanana na ujenzi mpya wa hekalu lililopambwa na kuongezeka.
Hekalu inayotajwa katiika taarifa za [[Agano Jipya]] ni hekalu hii ya Herode.
[[Image:Sack of jerusalem.JPG|thumb|300px|Wanejshi Waroma wabeba kinara ya mishumaa na vifaa vingine kutoka Hekaluy a Yerusalemu baada ya huiharibu mwaka 70]]
Mwaka 70 jeshi la [[Dola la Roma]] lilivamia Yerusalemu na kubomoa hekalu. Kuta za msingi zilibaki na ukuta mkubwa wa magharibi unasimama hadi leo ni [[Ukuta wa Maombolezo]] wa Wayahudi.
 
Kwa kawaida hekalu linalotajwa katika [[Agano Jipya]] ni hilo la Herode.
[[Image:Sack of jerusalem.JPG|thumb|300px|WanejshiWanajeshi Waroma wabebawakibeba kinara yacha mishumaa na vifaa vingine kutoka HekaluyHekalu ala Yerusalemu baada ya huiharibuhuliharibu mwaka 70]]
Mwaka [[70]] jeshi la [[Dola la Roma]] lilivamia Yerusalemu na kubomoa hekalu.
 
Mwaka 70 jeshi la [[Dola la Roma]] lilivamia Yerusalemu na kubomoa hekalu. Kuta za msingi zilibaki na ukuta mkubwa wa magharibi unasimama hadi leo, ukijulikana nikama [[Ukuta wa Maombolezo]] wa Wayahudi.
 
==Baada ya kuharibika kwa hekalu==
[[Waroma]] walijenga hapohapo hekalu kubwa kwa mungu wao [[Jupiter]] iliyobomolewalililobomolewa baada ya ushindi wa [[Ukristo]] katika Dola la Roma. Kulikuwa mara

Mara mbili nakulitokea majaribio ya kujenga hekaluytena ahekalu la Kiyahudi: tena matramara ya kwanza chini ya [[Kaisari]] [[Julian Apostata]], na mara ya pili wakati wa uvamizi wa [[Uajemi]] kwenye [[vita]] dhidi ya [[Bizanti]] mnamo [[614]] lakini majaribio yote yalishindikana.
 
[[Waislamu]] walipovamia Yerusalemu walikuta mlima wa hekalu kama mahali pa maghofu tu wakajenga hapa [[msikiti]].
 
Waislamu walipovamia Yerusalemu walikuta mlima wa hekalu kama mahali pa maghofu tu wakajenga hapa msikiti. Leo hii kuna majengo ya kiislamuKiislamu ya [[msikiti wa Al Aqsa]] pamoja na [[Kubba ya Mwamba]].
 
Ukuta wa magharibi wa hekalu yala Herode unaoitwa [[Ukuta wa Maombolezo]] ni mahali [[patakatifu]] pa Wayahudi.
 
[[Category:Mahali pa BibliaYerusalemu]]
[[Jamii:Majengo]]
 
{{Link FA|ru}}