Ukuta wa Maombolezo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: ko:통곡의 벽
No edit summary
Mstari 2:
[[Image:Israel-Western Wall.jpg|thumb|Wayahudi wakisali mbele ya Ukuta wa Maombolezo]]
[[Image:Israel Western Wall.jpg|thumb|Ukuta wa Maombolezo]]
'''Ukuta wa Maombolezo''' ([[Kiebrania]]: הכותל המערבי - hakotel hama'ariv ''"ukuta wa magharibi"'') katika mji wa kale wa [[Yerusalemu]] ni mahali [[patakatifu]] wapa [[dini]] ya [[Uyahudi]].
 
==Ukuta wa hekalu yala pili==
Ukuta huu ni mabaki yanayoonekana ya [[hekalu yala Yerusalemu]] yala pili jinsi ilivyopanushwalilivyopanuliwa na mfalme [[Herode Mkuu]] mnamo 20 KK. Hekalu hii ilibomolewa na [[Dola la Roma|Waroma]]kuanzia mwaka 70 BK wakati wa [[vita20 ya Waroma dhidi ya WayahudiKK]].
 
Hekalu hilo lilibomolewa na [[Dola la Roma|Waroma]] mwaka [[70]] BK wakati wa [[vita ya Waroma dhidi ya Wayahudi]].
Ukuta si sehemu ya hekalu ile yenyewe bali ilikuwa ukuta wa pembeni wa uwanja uliopo juu ya mlima wa hekalu. Inaaminiwa ya kwamba
 
Ukuta si sehemu ya hekalu ile yenyewelenyewe bali ilikuwaulikuwa ukuta wa pembeni wa uwanja uliopouliotengenezwa juukwa yavifusi kwenye mlima wa hekalu. Inaaminiwa ya kwamba
 
==Jina==
Jina la "Ukuta wa Maombolezo" limetokana na desturi ya Wayahudi walioonyesha huzuni yao juu ya kuharibiwa kwa hekalu hasa wakisali mahali hapa. Asili ya jina laaminiwainaaminiwa kuwa Kiarabu, halafu likaingia katika [[lugha]] nyingi. Kwa [[Kiebrania]] ukuta huitwa "ukuta wa magharibi" tu na hata jina hili limeenea katika lugha mbalimbali.
 
==Umuhimu katika imani ya kiyahudi==
Wayahudi huheshimu mahali hapa kwa sababu ni sehemu ya hekalu yala Yerusalemu yala mwisho tena sehemu ya mabaki haya yaliyo karibu na mahali pa [[Patakatifu pa Patakatifu]] pa hekalu ilelile.
 
Wengi wao huamini ya kwamba Patakatifu pa Patakatifu palikuwa mahali pa kuwepo kwa [[Mungu]] duniani ya mlango wa mbinguni ni juu yake. Hivyo ukuta wa magharibi ni sehemu ya karibu na mlango huu.

Wayahudi [[hija|wamehiji]] kwenda Yerusalemu kwa [[karne]] nyingi kwa kusidikusudi yala kusema [[sala]] hapahapa.

Kuna desturi ya kale ya kuandika maombi kwa karatasi na kuweka karatasi hizi kati ya mawe ya ukuta.
 
==Fitina juu ya ukuta==
Wayahudi walikataliwa kwa muda mrefu kupanda juu ya mlima wa hekalu.
Wayahudi walikataliwa kwa muda mrefu kupanda juu ya mlima wa hekalu. Baada ya Yerusalemu kuharibiwa mara ya pili na Waroma mwaka 135 eneo la hekalu pamoja na mji wote likakataliwa kwa Wayudi. Baada ya utekaji wa Kiarabu kulikuwa na vipindi ambako Wayahudi waliruhusiwa kutembelea mlima wa hekalu na vipindi vingine ambako walikataliwa. Hivyo desturi ya kusali mbele ya ukuta wa magharibi ilianza.
 
Baada ya Yerusalemu kuharibiwa mara ya pili na [[Waroma]] ([[70]]), na baada ya hao kushinda vita vya pili dhidi ya Wayahudi mwaka [[135]] eneo la hekalu pamoja na mji wote likakataliwa kwa Wayahudi.
 
Wayahudi walikataliwa kwa muda mrefu kupanda juu ya mlima wa hekalu. Baada ya Yerusalemu kuharibiwa mara ya pili na Waroma mwaka 135 eneo la hekalu pamoja na mji wote likakataliwa kwa Wayudi. Baada ya utekaji wa Kiarabu[[Waarabu]] kulikuwa na vipindi ambakoambapo Wayahudi waliruhusiwa kutembelea mlima wa hekalu na vipindi vingine ambakoambapo walikataliwa. Hivyo desturi ya kusali mbele ya ukuta wa magharibi ilianza.
Tangu takriban miaka 500 marabbi walianza wengine kufundisha ya kwamba Myahudi asitembee kwenye milima kwa sababu kuna hatari ya kuingia katika sehemu takatifu bila kutakaswa awali; hasa sehemu za patakatifu na patakatifu pa patakatifu ziliruhusiwa kwa makuhani au hata kuhani mkuu pekee. Leo kuna tangazo lenye onyo la Rabbi Mkuu wa Israel mbele ya geti ya kuingia kwenye eneo la mlima wa hekalu linalosema Myahudi asiingie. Ila tu si marabbi wote wanaokubali.
 
Tangu takriban miaka 500 marabbi walianzamarabi wengine walianza kufundisha ya kwamba Myahudi asitembee kwenye milimamlima kwa sababu kuna hatari ya kuingia katika sehemu takatifu bila ya kutakaswa awali; hasa sehemu za patakatifuPatakatifu na patakatifuPatakatifu pa patakatifuPatakatifu ziliruhusiwa kwa makuhanima[[kuhani]] tu au hata [[kuhani mkuu]] pekee. Leo kuna tangazo lenye onyo la Rabbi[[Rabi Mkuu]] wa Israel mbele ya geti yala kuingia kwenye eneo la mlima wa hekalu linalosema Myahudi asiingie. Ila tu si marabbimarabi wote wanaokubali.
Siku hizi kuna usalama kama kwenye uwanja wa ndege mkali wote wanoelekea ukutani wanapita kwenye geti wanapoangaliwa wakipaswa kufungua mifuko yote. Watu wote wanaruhusiwa kuingia ila tu wanaume wanaombwa kuvaa kofia kufuatana na desturi ya Kiyahudi.
 
Siku hizi kuna usalama mkali kama kwenye uwanja wa ndege mkali: wote wanoelekeawanaoelekea ukutani wanapita kwenye geti wanapoangaliwawanapochekiwa wakipaswa kufungua mifuko yote. Watu wote wanaruhusiwa kuingia ila tu wanaume wanaombwa kuvaa kofia kufuatana na desturi ya Kiyahudi.
 
[[categoryJamii:Uyahudi]]
[[categoryJamii:Yerusalemu]]
[[Jamii:Majengo]]
[[category:Mahali pa Biblia]]
 
[[als:Klagemauer]]