Kenya Airways : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Jamii:Makampuni ya Kenya
Picha:Kenya.airways.b777-200er.5y-kyz.arp.jpg
Mstari 1:
[[Picha:Kenya.airways.b777-200er.5y-kyz.arp.jpg|thumb|right|Kenya Airways Boeing 777-200ER|330px]]
'''Kenya Airways''' ni [[kampuni]] ya [[ndege (uanahewa)|ndege]] ya [[taifa]] ya [[Kenya]] yenye makao makuu jijini [[Nairobi]]. Kampuni hii ilianza kufanya kazi zake mwaka 1977 baada ya kuvunjika kwa [[Jumuiya ya Afrika Mashariki]] kulikopelekea kuvunjika kwa [["East African Airways"]]. Hivi sasa kampuni hii inatoa huduma barani [[Afrika]], [[Ulaya]] na [[India]]. Kampuni hii ina safari nyingi za ndege nje ya Afrika kuliko kampuni yoyote barani Afrika. Kampuni hii ilikuwa ikimilikiwa asilimia 100 na serikali ya Kenya mpaka mwaka 1996.