Kwaresima : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
Xqbot (majadiliano | michango) d roboti Nyongeza: nrm:Qùéraême; cosmetic changes |
||
Mstari 1:
[[
'''Kwaresima''' ni kipindi muhimu cha [[mwaka wa Kanisa]] kinachoandaa [[Pasaka]] kadiri ya [[kalenda ya liturujia]] ya [[madhehebu]] mengi ya [[Ukristo]].
== Maana ya Kwaresima kadiri ya imani ya Kikristo ==
Kwaresima yote inaeleweka tu kama maandalizi ya Pasaka. Kwa [[imani]] ya Wakristo, [[fumbo]] hilo la [[kifo]] na [[ufufuko]] wa [[Bwana]] ndilo lengo la maisha yote. Tunapaswa kuishi kwa ajili yake ambaye alikufa akafufuka kwa ajili yetu. Tunapaswa kuishi pamoja naye na ndani yake kwa kuchukua kila siku mwilini mwetu kifo chake ili kushiriki ufufuko wake. Tunapaswa kufia [[dhambi]] ili kuishi maisha mapya yaliyojaa [[upendo]]. Kwa ajili hiyo tunapaswa kujikana na kupoteza maisha yetu nyuma yake ili tuyaokoe kweli. Hayo yote yanafanyika kwa njia ya imani, [[sakramenti]] na matendo kabla hayajatimia kwa kifo chetu (hasa [[kifodini]]) halafu kwa ufufuko wetu.
Mstari 8:
Kwenye [[sherehe]] ya Pasaka tunatakiwa kutimiza hayo yote vizuri iwezekanavyo: ndiyo maana [[wakatekumeni]] watakaobatizwa usiku wa ufufuko, nasi sote tutakaokula pamoja nao [[Mwanakondoo]] aliyechinjwa, tunajiandaa kwa bidii za pekee katika kulisha imani yetu kwa [[Neno la Mungu]], katika kushiriki [[ibada]] na katika kutekeleza [[toba]]. Hivyo kwa pamoja, ingawa kwa namna tofauti, tunapanda [[Yerusalemu]] pamoja na [[Yesu]] kwa ajili ya Pasaka.
== Maana ya Kwaresima katika maisha ya binadamu ==
Ni kawaida ya [[binadamu]] katika shughuli yoyote kufikia hatua ya kuona haja ya marekebisho, ya hali mpya, hasa mbele ya maonevu na [[utumwa]]. Katika [[historia]] mara nyingi walijitokeza watu waliohisi sana haja hiyo na kuelekeza njia ya ukombozi.
Mstari 14:
Kwa Wakristo safari hiyo inafanyika hasa wakati wa Kwaresima kwa kuzingatia uharibifu uliotokana na dhambi katika maisha yao binafsi na katika [[jamii]]. Wakiongozwa na [[Yesu Kristo]] wanajitahidi kurekebisha uhusiano wao na [[Mungu]], watu na vitu ili kuanza na moja maisha adilifu.
== Asili ya Kwaresima katika [[Biblia]] ==
Katika [[Agano la Kale]] [[Musa]] ndiye aliyeongoza [[Waisraeli]]. Sisi tunakumbuka na kufuata safari yao ya ukombozi, walipokaa jangwani miaka 40 ili kuelimishwa kinaganaga juu ya yale yatokanayo na [[Amri za Mungu|maneno 10]] ambayo Musa alipewa na Mungu alipofunga siku 40 juu ya [[mlima Sinai]].
Mstari 20:
Hayo yalikamilishwa na Yesu katika [[Agano Jipya]] kama kiongozi na [[mkombozi]] wa wote. Kabla hajaanza [[utume]] wake, yeye pia alifunga siku 40 jangwani akijilisha matakwa ya [[Baba]] ili ayatekeleze na kuwatangazia watu wote.
== Juhudi za Kwaresima ==
Kufuatana na hayo yote [[Kanisa]] linafunga siku 40 katika [[jangwa]] la kiroho. Wakati wa Kwaresima linawaongoza waamini katika safari ya kujirekebisha kulingana na Neno la Mungu la Agano la Kale na la Agano Jipya. Wote wanahimizwa kufunga safari hiyo kadiri ya hali yao: kwanza wale wanaojiandaa kubatizwa usiku wa Pasaka (hasa kwa kufanyiwa mazinguo matatu yanayofuatana katika Dominika III, IV na V), lakini pia waliokwishabatizwa, ambao kabla ya hapo wanatakiwa kutubu na kuungama dhambi ili warudie kwa unyofu ahadi za [[ubatizo]].
Mstari 32:
Mfungo, yaani kujinyima tunavyovipenda na hata tunavyovihitaji, uwe ishara ya njaa yetu ya Neno la Mungu, ya nia yetu ya kushiriki [[mateso ya Yesu]] yanayoendelea katika [[maskini]], ya kulipa kwa dhambi zetu na kuachana nazo. Sadaka inayotokana na sisi kujinyima inampendeza Mungu kuliko ile isiyotuumiza; msaada unaweza kutolewa pia kwa kutetea [[haki za binadamu]] dhidi ya wanyanyasaji. Sala inastawi kwa kusikiliza sana Neno la Mungu hasa kwa pamoja (katika [[familia]], [[jumuia]], [[liturujia]] n.k.). Ndiyo maana wakati wa Kwaresima Kanisa linazidisha nafasi za kulitangaza na hivyo kuelimisha wote kuhusu mambo makuu ya imani na [[maadili]] yetu.
== Kwaresima katika liturujia ya [[Roma]] ==
Kuna mpangilio kabambe wa masomo ya [[Misa]], hasa ya [[Jumapili|Dominika]], ili wote wafuate hatua kuu za [[historia ya wokovu]] (somo la kwanza) na kuchimba ukweli wa ubatizo (mwaka A), [[agano]] na [[fumbo]] la Kristo (mwaka B) na [[upatanisho]] (mwaka C). Kwa njia hiyo tunatangaziwa jinsi Mungu anavyotuokoa; pia upande wetu kuanzia Dominika ya kwanza tunajielewa kuwa watu vishawishini ambao tunapaswa kushinda kwa kumfuata Yesu, si [[Adamu]]: kwenda jangwani ili kumtafuta Bwana na matakwa yake.
Mstari 40:
Baada ya Kwaresima kwisha, tutapitia tena historia ya wokovu katika [[kesha la Pasaka]] ambapo hatua zote zinaangazwa na ushindi wa Kristo mfufuka.
== Viungo vya nje ==
* [http://www.newadvent.org/cathen/09152a.htm Lent: Catholic Encyclopedia]
* [http://archives.umc.org/interior.asp?ptid=1&mid=3331 United Methodist Church: Lent and Easter]
Mstari 62:
[[ca:Quaresma]]
[[cs:Postní doba]]
[[pdc:Faschtzeit]]▼
[[de:Fastenzeit]]
[[en:Lent]]
[[es:Cuaresma]]▼
[[eo:Karesmo]]
▲[[es:Cuaresma]]
[[eu:Garizuma]]
[[fi:Suuri paasto]]▼
[[fr:Carême]]
[[ga:Carghas]]
[[gl:Coresma]]
[[
[[hr:Korizma]]
[[id:Pra-Paskah]]
[[is:Langafasta]]
[[it:Quaresima]]
[[
[[ko:사순절]]
[[la:Quadragesima]]
[[lb:Faaschtenzäit]]
[[lt:Gavėnia]]
[[nl:Vastentijd]]
[[no:Fastetiden]]
[[nrm:Qùéraême]]
▲[[pdc:Faschtzeit]]
[[pl:Wielki Post]]
[[pt:Quaresma]]
Line 88 ⟶ 90:
[[ru:Великий пост]]
[[sc:Caresima]]
[[sh:Korizma]]▼
[[sl:Postni čas]]
▲[[sh:Korizma]]
▲[[fi:Suuri paasto]]
[[sv:Påskfastan]]
[[ti:ዓቢይ ጾም]]
|