Adhabu ya kifo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: sq:Dënimi me vdekje
d roboti Nyongeza: fy:Deastraf; cosmetic changes
Mstari 7:
 
Kwa jumla kuna hasa sababu nne zinazotajwa kwa ajili ya adhabu ya kifo:
# adhabu hii ni dia inayotakiwa kwa jinai nzito. Mtu aliyeua hastahili kuishi tenaa. Haki inadai ya kwamba adhabu ilingane na tendo.
# Adhabu ya kifo inaondoa wakosaji wenye hatari katika jamii. Hawezi kutoroka au kuachishwa jela na kuleta hatari ya kwamba atarudia matendo.
# Watu wengine wanaotafakari kutenda maovu yale wataogopa kufanya hivyo kwa hofu ya adhabu ya kifo hivyo hofu hii inaongeza kiwango cha usalama katika jamii.
# heri kumwua mkosaji aliyeua kuliko kumfunga ndani kwa maisha yake kwa sababu hii
** inaleta gharama kubwa kwa jamii
** ni adhabu ya kinyama zaidi kuliko kumwua mkosaji
 
== Upinzani ==
Mstari 18:
 
Sababu za upinzani ni hasa kama zifuatazo:
# wengi hudai ya kwamba adhabu ya kifo hailingani na utu. Katika hoja hili kumwua mtu ni kinyama na hata kama mkosaji alimwua mtu mwingine na kutenda kinyama hii si sababu nzuri kwa umma au jamii kushuka chini kwenye ngazi hiyohiyo na kumtendea mksosaji jinsi alivyotenda mwenyewe.
# adhabu ya kifo ni adhabu ambayo haiwezi kurekebishwa. Lakini kila mahakama inaweza kukosa na kuna mifano mingi kwa kwamba mahakama ilikosa na kumhukumu mtu kuwa alihusika na jinai lakini baadaye ilionekana si yeye. Kama amefungwa jela anaweza kuachishwa na kurudishwa uhuru. Kama ameshauawa hakuna njia ya kumrudishia uhai.
# Hakuna uthebitisho ya kwamba adhabu ya kifo inasaidia kupunguza jinai katika jamii.
 
Mstari 39:
 
== Namna za kutekeleza kifo ya mauti ==
* '''''Kupiga risasi'''''
* '''''Sindano ya sumu'''''
* '''''Kunyonga'''''
* '''''Kukata kichwa'''''
* '''''Kiti cha umeme'''''
* '''''Kurusha mawe'''''
 
 
Mstari 95:
 
=== MAfundisho ya kidini ===
* [http://www.deathpenaltyreligious.org/education/perspectives/dalailama.html The Dalai Lama] - Message supporting the moratorium on the death penalty
* [http://www.engaged-zen.org/articles/Damien_P_Horigan-Buddhism_Capital_Punishment.html Buddhism & Capital Punishment] from The Engaged Zen Society
* [http://www.ou.org/torah/savannah/5760/behaalotcha60.htm Orthodox Union website: Rabbi Yosef Edelstein: Parshat Beha'alotcha: A Few Reflections on Capital Punishment]
Mstari 137:
[[fo:Deyðarevsing]]
[[fr:Peine de mort]]
[[fy:Deastraf]]
[[gl:Pena de morte]]
[[he:עונש מוות]]