Ghostface Killah : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Created page with '{{Infobox Musical artist |Jina = Ghostface Killah |Img = Theghostface.jpeg |Background = solo_singer |Jina la kuzaliwa = Dennis Coles |Pia anajulikana kama = ...'
 
No edit summary
Mstari 14:
}}
 
'''Dennis Coles''' (amezaliwa tar. [[9 Mei]], [[1970]])<ref>{{cite web|last=Erlewine|first=Stephen Thomas|title=Ghostface Killah - Biography|work=[[Allmusic]]|url=http://www.allmusic.com/cg/amg.dll?p=amg&searchlink=&sql=11:djfqxqegldfe~T1|accessdate=2009-01-03}}</ref> ni msanii wa [[muziki wa hip hop]] kutoka nchini [[Marekani]]. Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama '''Ghostface Killah'''. Huyu ni mmoja kati ya wanaounda kundi zima la [[Wu-Tang Clan]]. Baada ya kundi kuambulia mafanikio yake makubwa baada yakwa kutoa albamu yao ya kwanza iliyokwenda kwa jina la ''[[Enter the Wu-Tang (36 Chambers)]]'' , huyu bwana naye akaamua kujiendeleza mwenyewe akiwa kama msanii wa kujitegemea na kuweza kupata mafanikio kibao. Ghostface Killah akatoa albamu yake ya kwanza iliyokwenda kwa jina la ''[[Ironman]]'', ambayo ilipokewa vyema sana na watathmini wa masuala ya muziki. Akaendeleza kazi yake, na kutengeneza albamu zake zilizojishindia tuzo kemekem. Albamu hizo ni pamoja na ''[[Supreme Clientele]]'', ''[[Fishscale]]'', na ''[[The Big Doe Rehab]]''.
 
Ghostface Killah ni maarufu mno<ref>{{cite web|url=http://www.allmusic.com/cg/amg.dll?p=amg&sql=10:dvftxzehldke|title=The Big Doe Rehab: Review|author=Brown, Marisa|date=2007|publisher=Allmusic|accessdate=2009-08-06}}</ref><ref>{{cite web|url=http://www.stylusmagazine.com/reviews/ghostface-killah/more-fish.htm|title=More Fish|publisher=''[[Stylus Magazine]]''|date=2006-12-14|author=O'Donnell, Mallory|accessdate=2009-08-06}}</ref> kwa staili yake ya sauti kubwa, kuchana kwa haraka-haraka, na staili yake ya kuimba kama hataki huku akiwa anatia mbwembwe za maneno ya kitaa-kistori fulani ya kujitambua''.<ref name=newyorker>{{cite web|url=http://www.newyorker.com/archive/2006/03/20/060320crmu_music|title=Ghost's World|publisher=''[[The New Yorker]]''|author=Frere-Jones, Sasha|authorlink=Sasha Frere-Jones|date=2006-03-20|accessdate=2009-08-06}}</ref><ref>{{cite web|url=http://www.ew.com/ew/article/0,,1178775,00.html|title=Ghost' Writer|publisher=[[EW.com]]|author=Dombal, Ryan|date=2006-03-31|accessdate=2009-08-06}}</ref>