Wadominiko : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: fy:Dominikanen
d roboti Badiliko: lv:Dominikāņu ordenis; cosmetic changes
Mstari 1:
[[ImagePicha:Blason LBP.svg|right|thumb|Lebo ya shirika]]
[[ImagePicha:SaintDominic.jpg|right|thumb|[[Dominiko wa Guzmán]], [[mwanzilishi]] wa Shirika la Ndugu Wahubiri]]
[[ImagePicha:San Domenico11.jpg|thumb|right|225px|Mdominiko katika [[kanzu]] rasmi ya shirika]]
'''Wadominiko''' ni jina fupi linalotumka kuhusu wafuasi wote wa [[Dominiko wa Guzmán]] ([[1170]]-[[1221]]), hasa wa '''Shirika la Ndugu Wahubiri''' alilolianzisha, mojawapo kati ya mashirika ya [[utawa|kitawa]] ya [[Kanisa Katoliki]], aina ya [[Ombaomba]]. Ufupisho wa jina la shirika ni '''O.P.'''
 
== Historia ==
Shirika lilianzishwa na [[Dominiko wa Guzmán]], [[mkanoni]] wa [[jimbo]] la [[Burgo de Osma-Ciudad de Osma]]: mwaka [[1203]] aliongozana na [[askofu]] wake [[Diego wa Acevedo]] katika safari ya kibalozi kwa niaba ya [[mfalme]] [[Alfonso VIII wa Castilia]] kwa mfalme [[Valdemaro II wa Denmark]]. Wakati wa kurudi, wakipitia mkoa wa [[Langadoque]] ([[Ufaransa]] Kusini), waling'amua [[uzushi]] wa [[Wakatari]] ulivyoenea naye akaamua kuungana na mabalozi wa [[Papa Inosenti III]] katika jitihada za kurudisha watu hao katika [[Kanisa Katoliki]].
 
Mstari 17:
Kwa agizo la [[Mtaguso IV wa Laterano]] ndugu hao walipaswa kujichagulia [[kanuni]] iliyowahi kukubaliwa na [[Kanisa]], wakaamua kushika ile ya [[Agostino wa Hippo]], wakiiongezea [[katiba]] ya kwao, maarufu hasa kwa kutumia kiasi fulani cha [[demokrasia]], ambayo ilitumiwa kama mwongozo kwa nyingine hata za kiserikali.
 
== Karama ==
Ni hasa ile ya kuhubiri, ambayo wakati ule ilikuwa ya nadra, kutokana na hali ya elimu hata kati ya ma[[kasisi]]. Utume huo, uliokubaliwa na Papa kwa wanashirika wote, ukawa msaada mkubwa kwa Kanisa pia kwa sababu uliendana na maisha ya [[ufukara wa Kiinjili]].
 
Mambo muhimu ya shirika ni:
* Kuhubiri [[Injili]]
* Kuishi kijumuia
* Kuadhimisha [[liturujia]]
* Kushika taratibu za kitawa
* Kusoma
 
 
== Takwimu ==
Tarehe [[31 Desemba]] [[2005]], Shirika lilikuwa na [[konventi]] 615 zenye ndugu 6.077, ambao 4.495 kati yao ni [[upadri|mapadri]]. Mbali ya hao, kuna [[masista]] wengi wa maisha ya sala tu na wa maisha ya sala na utume. Pia kuna [[walei]] wanaofuata [[karama]] ya shirika hilo katika maisha ya kawaida.
 
[[CategoryJamii:Kanisa Katoliki]]
[[CategoryJamii:Mashirika ya kitawa]]
 
[[be-x-old:Ордэн дамініканаў]]
Mstari 60:
[[li:Dominicaan]]
[[lt:Dominikonų ordinas]]
[[lv:DominikāņiDominikāņu ordenis]]
[[nl:Dominicanen]]
[[no:Dominikanerordenen]]