Grammy Awards : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: ckb:خەڵاتی گرامی
No edit summary
Mstari 11:
}}
 
'''Grammy Awards''' au '''Tuzo za Grammy''' (kiasiliawali inaitwailiitwa '''Gramophone Awards''')—au '''Grammys'''—hutolewa kila mwaka na National Academy of Recording Arts and Sciences ya nchini [[Marekani]] kwa ajili ya kazi zilizopata mafanikio makubwa katika [[soko la muziki]]. Sherehe hizi za ugawaji wa tuzo hushirikisha wasanii mashuhuri na wale machipukizi, na baadhi ya tuzo zao huwa maarufu na huonyeshwa katika matelevisheni mengi nchi nzima.
==Makundi==
Makundi makuu ya au jamii kuu za aina ya muziki ni nne.