Uprotestanti : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: pdc:Brodeschdant; cosmetic changes
Mstari 3:
== Asili ya jina ==
 
Mwaka [[1529]], kikao cha Bunge la [[Speyer]] ([[Ujerumani]]) lilikataza tena uenezaji wa Matengenezo nchini mpaka [[Mtaguso mkuu]] utakaporudisha utaratibu ndaniya [[Kanisa]].
 
Lakini watawala waliomuunga mkono Luther walitoa hati ya pamoja inayoanza na maneno ''Protestamur'', yaani 'Tunapinga'.
Mstari 12:
 
Uprotestanti unagawanyika katika maelfu ya madhehebu tofauti, lakini inawezekana kutambua mambo kadhaa yanayolingana katika yote:
* kusisitiza [[Biblia]] kama msingi wa [[imani]].
* kusisitiza "[[wokovu]] kwa njia ya imani".
* kusisitiza ukosefu wa binadamu na haja ya damu ya [[Yesu]] kama kafara iliyopangwa na [[Mungu]].
 
[[CategoryJamii:Ukristo]]
 
[[af:Protestantisme]]
Mstari 80:
[[nrm:Récriauntisme]]
[[oc:Protestantisme]]
[[pdc:Brodeschdant]]
[[pl:Protestantyzm]]
[[pt:Protestantismo]]