Prussia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
+ko
sahihisho ya lugha, nyongeza ndogo na viungo
Mstari 1:
'''Prussia''' ni jina muhimu katika historia ya [[Ujerumani]] pia ya [[Poland]] na Ulaya wote. Katika karne ya 19 hadi 1933 sehemu kubwa ya Ujerumani ilikuwa sehemu ya dola la Prussia lililokuwa awali nchi ya pekee na baadaye jimbo kubwa la Ujerumani.
 
==Nchi ya Waprussia==
Mstari 6:
==Dola la Wamisalaba Wajerumani==
Wamisalaba walifaulu kutekea eneo lilioitwa baadaya "Prussia ya mashariki" na kujenga himaya yao. Wamisalaba hawakuwa watemi wa kawaida bali wamonaki na wanajeshi. Dola la wamisalaba lilikuwa wakati mwingine chini ya mfalme wa Polandf, wakati mwingine dola la kujitegemea. Waliita walowezi na wakulima kutoka pande zote za Ujerumani na kuanzisha miji mingi.
[[Image:Ac.prussiamap2.gif|thumb|300px|<small>Brandenburg na Prussia kati ya 1600 na 1800 <br> biluubuluu nyeusi: Brandenburg asilia; Kijani nyeusi: nyongeza 1618 ya Prussia; kijani: nyongeza nyingine 1600 hadi 1772; njano: nyongeza kutokana na ugawaji wa Poland</small>]]
==Kuunganishwa na Brandenburg==
Baada ya farakano kati ya Wakatoliki na Waprotestant himaya ya wamisalaba ilipokea uprotestanti na wamisalaba waliondoka katika maisha ya umonaki. Mkuu alikuwa mtemi mtawala akaoa.
Mstari 28:
Mwisho wa [[Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia]] ufalme wa Prussia kama vile katika sehemu zote za Ujerumani ilifutwa katika [[mapinduzi ya Ujerumani ya 1918]]. Wilhelm II akajiuzulu na kukimbilia Uholanzi. Prussia ilikuwa jimbo jamhuri ndani ya jamhuri la shirikisho la Dola ya Ujerumani.
 
Baada ya [[Adolf Hitler]] kuchukua utawala wa Ujerumani na kujenga [[udikteta]] madaraka ya majimbo yote pia ya Prussia yalifutwa.
 
==Mwisho wa Prussia==