Tofauti kati ya marekesbisho "Tikisa"

16 bytes removed ,  miaka 11 iliyopita
d
no edit summary
d (roboti Nyongeza: br:Kannerez (evn))
d
| spishi = Angalia katiba
}}
'''Matikisa''' au '''vibikula''' ni [[ndege (mnyama)|ndege]] wa [[jenasi]] ''[[Motacilla]]'' na ''[[Dendronanthus]]'' katika [[familia (biolojia)|familia]] ya [[Motacillidae]] ambao huitwa '''vibikula''' pia. Wana mkia mrefu ambao wautikisa mara kwa mara. Ndege hawa ni wadogo na wembamba na [[spishi]] nyinginekadhaa zina rangi nzuri. Hukamata [[mdudu|wadudu]] ardhini na hutaga [[yai|mayai]] 4-8 ndani ya kikombe cha [[nyasi|manyasi]] ardhini.
 
== Spishi za Afrika ==
10,822

edits