Milima ya Ural : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Badiliko: ur:کوہ اورال
d roboti Badiliko: vi:Dãy núi Ural; cosmetic changes
Mstari 1:
<sup>Kwa maana mengine ya neno hili tazama [[Ural|hapa]]</sup>
[[ImagePicha:Ural Mountains Map.gif|thumb|320px|Ramani ya Milima ya Ural nchini Urusi]]
 
'''Milima ya Ural''' (''[[Kirusi]]:'' ''Ура́льские го́ры - uralskiye gory'') ni safu ya milima nchini [[Urusi]] inayoelekea kutoka kaskazini kwenda kusini kwa urefu wa kilomita 2,500.
 
Hutazamiwa kama mpaka unaotenganisha [[Ulaya]] na [[Asia]].
 
== Jiografia ==
[[ImagePicha:Prokudin-Gorskii-32.jpg|thumb|left|Kijiji cha Kolchedan katika milima ya Ural mnamo 1912]]
 
Upande wa kusini safu ya Ural inaanza katika tambarare za [[Kazakhstan]] ikiendelea upande wa kaskazini hadi [[Bahari ya Aktiki]]. Kisiwa cha [[Novaya Zemlya]] ni sehemu ya kijiografia ya Ural.
 
Mlima mrefu wa Ural ni [[mlima Narodnaya]] (Poznurr, 1895 m).
[[ImagePicha:Gorskii_04428u.jpg|thumb]]
 
 
== Viungo vya Nje ==
{{commonscat|Ural Mountains}}
* [http://welcome-ural.ru/urals/77/ Five parts of the Ural Mountains]
{{mbegu-jio-Ulaya}}
{{mbegu-jio-Asia}}
 
 
[[CategoryJamii:Milima ya Urusi]]
 
[[als:Ural]]
Mstari 86:
[[uk:Урал]]
[[ur:کوہ اورال]]
[[vi:NúiDãy núi Ural]]
[[zh:乌拉尔山脉]]