Billboard Hot 100 : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Jamii
No edit summary
Mstari 1:
'''''Billboard'' Hot 100''' ni jina la kutaja viwango vya muziki, yaani, chati za single maarufu, na kadhalika ambazo hutolewa kila wiki na gazeti la ''[[:en:Billboard (magazine)|]]''Billboard'']] la nchini [[Marekani]]. Chati hutegemea kwa wimbo kupigwa sana maredioni au kufanya vizuri mauzoni; wiki ya mauzo ya wimbo huanza Jumatatu na kuisha Jumapili; wakati kupigwa redioni kwa nyimbo-inaanza kuanzia Jumatano hadi Jumanne. Chati mpya zinakusanywa na zinatolewa rasmi katika umma na ''Billboard'' mnamo Alhamisi. Kila chati imewekewa tarehe ya "wiki inayoishia" baada ya Jumamosi.
 
:Mfano: