Adhabu ya kifo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: vls:Dôodstraffe
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Death Penalty World Map.pngsvg|thumb|right|350px|Adhabu ya kifo duniani. Buluu: hakuna,<br /> Kijani: Adhabu ya kifo wakati wa vita pekee; kichungwa: kuna adhabu ya kifo lakini haikutekelezwa katika miaka 10 iliyopita<br /> Nyekundu:Adhabu ya kifo hutolewa]]
 
'''Adhabu ya kifo''' ni mauaji ya mwanadamu yanayotekelezwa na [[serikali]] baada ya [[mahakama]] imetoa hukumu ya mauti kulingana na sheria ya nchi. Kwa kawaida adhabu hii inatolewa kwa jinai nzito sana.