Sarafu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
nyongeza sarafu
Mstari 3:
'''Sarafu''' ni kipande cha metali iliyotolewa na serikali ya nchi kama namna ya [[pesa]]. Mara nyingi sarafu ina umbo la [[duara]] kama kisahani. Kuna pia sarafu za pembe tatu, pembe nne au pembe zaidi.
 
Zamani sarafu ilikuwa umbo la kawaida ya pesa. Sarafu za kwanza zinazojulikana dunia zimepatikana kutoka [[Lydia]] katika [[Anatolia]] ya Magharibi iliyokuwa wakati ule sehemu ya utamaduni wa [[Wagiriki wa Kale]]. Sarafu zilitengenezwa hasa kwa kutumia metali ya thamani kama [[dhahabu]] na [[fedha]], pia ya [[shaba]] na wakati mwingine ya [[chuma]]. Thamani ya sarafu ililingana na kiasi fulani cha metali hizi.
Zamani sarafu ilikuwa umbo la kawaida ya pesa lakini siku hizi sehemu kubwa ya [[fedha]] inatolewa kama [[noti]] yaani kama [[karatasi]].
 
Zamani sarafu ilikuwa umbo la kawaida ya pesa lakini sikuSiku hizi sehemu kubwa ya [[fedha]] inatolewa kama [[noti]] yaani kama [[karatasi]].
Karibu popote duniani sarafu hutumika kwa ajili ya pesa ndogo tu. Isipokuwa sarafu za dhahabu zinatolewa kwa idadi ndogo hasa kwa ajili ya watu wanaopenda kukusanya aina mbalimbali za sarafu zenye thamani ingawa hazitumiki kama pesa ya kulipia.