César Cui : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Badiliko: ca:Cèsar Antónovitx Cui
d roboti Badiliko: ca:Cèsar Cui; cosmetic changes
Mstari 1:
[[ImagePicha:Cesar cui.jpg|thumb|right|300px|César Cui.]]
 
'''César Cui''' ([[18 Januari]] [[1835]] - [[26 Machi]] [[1918]]) alikuwa mtunzi maarufu wa [[Opera]] kutoka nchini [[Urusi]]. Nae ni mmoja kati ya watunzi watano mashuhuri wa [[Urusi]], ambao walipewa jina la utani la “Moguchaya Kuchka” (kwa [[Kiswahili|Kisw.]] “Watu wenye Uwezo”), watu hao walikuwa [[Mily Balakirev]], [[Nikolai Rimsky-Korsakov]], [[Modest Mussorgsky]] na [[Alexander Borodin]]. Baba wa Cui’s anatokea nchini [[Ufaransa]] na mama yake anatokea [[Lithuania]].
 
Kama ilivyokuwa watunzi wengine wa [[Urusi|Kirusi]] wa [[karne ya 19]], nae huyu alikuwa akifanya shughuli hizi kwa upenzi tu na sio kimapato. Kazi yake rasmi ilikuwa kama fundi katika ngome ya jeshi. Pia alikuwa profesa katika masuala ya kiisimu na alitunga vitabu kadhaa vinavyo husu maswala ya ulinzi katika jeshi. Vilevile aka jenerali katika jeshi.
== Viungo vya nje ==
 
 
Mstari 26:
 
{{DEFAULTSORT:Cui, Cesar}}
[[CategoryJamii:Watunzi wa Urusi]]
[[CategoryJamii:Wanamuziki wa Urusi]]
[[CategoryJamii:Watunzi wa Romantik]]
[[CategoryJamii:Waliozaliwa 1835]]
[[CategoryJamii:Waliofariki 1918]]
 
[[ca:Cèsar Antónovitx Cui]]
[[cs:César Antonovič Kjui]]
[[de:César Cui]]